kuflash simu na factory files ingia hapa

kuflash simu na factory files ingia hapa

Yeah mkuu nisaidie..hata internet ni kubaatisha
hebu jaribu kuangalia kama imei za ndani na nje zinafanana...kama hazifanani simu itakuwa ya kuflash ilw kama zinafanana jua ni tatizo la hardware..hadi ifunguliwe
 
Back
Top Bottom