model gani?Mkuu kuna android nimeirest inafai email iliyotumika google account ambayo sina nifanyaje?
model gani?
ina factory reset pin...iunge na internet itakudai email na passwords ulizoungia playstore..kama umezisahau ni lazima kuflash hyo boss...Techno j 8
model ganiKu unlock izi vodafone zisome laini nyingine mkuu
Vodafone smarttab 3G Ndo iko hivo tumodel gani
Mkuu pia nami nisaidie ku unlock H6309 halotelKu unlock izi vodafone zisome laini nyingine mkuu
Isoke laini yoyote.Mkuu pia nami nisaidie ku unlock H6309 halotel
Mbonde saidia hapa, nina moderm ya tigo nataka kuiflush iweze kusoma line zote nafanyaje?kwa mahitaji ya kuflash simu na maelekezo ncheki kwa namba 0715629715 au ingia kwenye site yangu [www.hi-protechy.com]
ningeweza kukusaidia ndugu ila nmebobea kwenye simu..kwenye modem sipo vzr sanaMbonde saidia hapa, nina moderm ya tigo nataka kuiflush iweze kusoma line zote nafanyaje?
Isoke laini yoyote.
yo welcomeNitarudi kujifunza mengi
Kuirudisha ndo issue sasairudishe hyo original imei iliyokuja na simu...huwa inapatikana kwenye sticker ya nyuma baada ya kutoa battery