ubuntuX
JF-Expert Member
- Aug 18, 2014
- 1,977
- 2,200
Ni dhahiri watanzania wamechoshwa na awamu ya tano!
Umepita mwaka mmoja tu wa rais Magufuli lakini watanzania wengi wamechoka kusoma namba na wanatamani 2020 ifike hata kesho wafanye mabadiliko
Watanzania wengi fikra zao kwa sasa ni uchaguzi wa 2020, wanafikiria nani ataongoza nchi tena
Ukweli mchungu, hii si ishara njema kwa rais Magufuli na CCM yake kwa ujumla
Kwanin wananchi wamemkinai mapema hivi wakati hata mwaka wa pili ajafikisha?
Hii sio dalili njema sana kwa CCM na Magufuli kuendelea na nafasi ya urais wa nchi kwa mwaka 2020, muda bado upo mnaweza kufanya mabadiriko na kurudisha imani