M Midavudavu JF-Expert Member Joined Jan 23, 2012 Posts 287 Reaction score 59 Jan 31, 2012 #1 Waungwana nauliza, hivi kufikiri kuna watu wanafikiri kwa makalio huko siyo kufikiri kwa makalio?
Bakulutu JF-Expert Member Joined Nov 30, 2011 Posts 2,596 Reaction score 1,865 Jan 31, 2012 #2 hivi wewe sio ndio mwenyewe kabisa...unataka tukudhibitishie nn sasa?? Kwamba sisi tunafikir kwa makalio!!! Shwain..
hivi wewe sio ndio mwenyewe kabisa...unataka tukudhibitishie nn sasa?? Kwamba sisi tunafikir kwa makalio!!! Shwain..
M Midavudavu JF-Expert Member Joined Jan 23, 2012 Posts 287 Reaction score 59 Feb 1, 2012 Thread starter #3 Ukirusha jiwe gizani halafu ukasikia mtu analalamika ujue huyo litakuwa limempata. Nisamehe mkuu sikujua kuwa ni wewe halafu nakushukuru kwa kunijulisha kuwa pia wewe ni shwai...........
Ukirusha jiwe gizani halafu ukasikia mtu analalamika ujue huyo litakuwa limempata. Nisamehe mkuu sikujua kuwa ni wewe halafu nakushukuru kwa kunijulisha kuwa pia wewe ni shwai...........