MTH center
Senior Member
- Dec 18, 2012
- 115
- 52
WanaJamiiForums katika hali ya kawaida na kwa mapenzi ya kistaarabu baada ya kumwandaa vizuri, je ni muda gani kwa wastani unatakiwa kugegeda mwanamke hadi arizike na shughuli?
Karibu kwa maoni.
Karibu kwa maoni.