AbuuMaryam
JF-Expert Member
- Dec 26, 2015
- 2,537
- 4,517
Mkuu hongera kuwa na wazo fikirishi japo wapumbavu watakupinga juu ya hiloKama haya ndio yanayosomwa...kwa sababu hayaakisi maisha halisi wala hayagusi changamoto zake na kuzitatua...
Sasa nimsome Panzi na kuweka kichwani parts zake zote ili iweje...
Hebu tuambieni mliomeza haya mavitu...yamewasaidia nini kujikwamua na hali mbaya ya Jiwe...
Hili lielimu letu liangalie mambo ya msingi ya kusoma...kuanzia ya msingi...mtu atoke na fani yake kabisa itakayomsaidia na kupambana na changamoto za kimazingira...
Wizara ya elimu...sijui hayo maprofesa ugali tu...vitambi vimewajaa tu bila kuwa na mawazo mbadala...
Lets change our mindset...
Leo mtoto aliyemaliza form four akafeli akarudi mtaani...hajui what to do kabisa...kwa ajili ya kuwamezesha utumbo utumbo kama huu...
UKIONA MWANAO AU NDUGU YAKO KAFELI FORM FOUR...BASI USIHUZUNIKE...NI KWA SABABU WANAMEZESHWA UTUMBO KAMA HUU...NA UUMPE PONGEZI KUWA AKILI YAKE IMEJUA KUNG'AMUA IKAONA SIO MUHIMU KUHIFADHI UTUMBO KAMA HUO...View attachment 1042077
Sent using Jamii Forums mobile app
Watu wenye mawazo ya kiualimu na kukariri aisha ndio watakaonipinga...Mkuu hongera kuwa na wazo fikirishi japo wapumbavu watakupinga juu ya hilo
Mfumo wetu wa elimu unazid shuka kuanzia shule za awal mpaka chuo mwanafunz akimaliza hana cha kufanya anasubiri kuajiriwa tu hakuna mfumo utakao mfanya hata akitoka kwa shule awe na kitu cha kufanyaWatu wenye mawazo ya kiualimu na kukariri aisha ndio watakaonipinga...
Sent using Jamii Forums mobile app
Elimu ya kuchora panzi...Changamoto za maisha sio changamoto za kiuchumi pekee! Mtu mwenye elimu anakuwa na upeo mkubwa zaidi wa kuchanganua mambo yanayomzunguka mwanadamu kwa usahihi...
Nimetambua kuwa hujielewi japo wew ni baba wa mke na watoto
Hicho ni kisehemu kidogo cha elimu. Piga picha elimu inaanzia shule ya msingi, miaka saba, sekondari ya kawaida miaka minne, sekondari ya juu miaka miwili. Jumla hadi hapo ni miaka 13. Ukienda chuo tena miaka mitatu, jumla ni miaka 16. Huwezi tu ukawa unachora panzi miaka yote 16. Kama ungekuwa umesoma, ungeelewa ni mambo gani yanayofundishwa huko shule. Kama hukupata bahati ya kusoma, pole sana. Ila hakiisha unawapeleka watoto wako shule. You never know, huenda elimu ikawatoa...
Sasa kama hamtaki wajue hao panzi, nzi, mende, mbu,
Endelea kulaumu wakati wenzako walijitoa na kumeza huyu panzi saa hivi wanakula hela pasi na jasho kushndwa umeshindwa ww wengine wana enjoy tuKama haya ndio yanayosomwa...kwa sababu hayaakisi maisha halisi wala hayagusi changamoto zake na kuzitatua...
Sasa nimsome Panzi na kuweka kichwani parts zake zote ili iweje...
Hebu tuambieni mliomeza haya mavitu...yamewasaidia nini kujikwamua na hali mbaya ya Jiwe...
Hili lielimu letu liangalie mambo ya msingi ya kusoma...kuanzia ya msingi...mtu atoke na fani yake kabisa itakayomsaidia na kupambana na changamoto za kimazingira...
Wizara ya elimu...sijui hayo maprofesa ugali tu...vitambi vimewajaa tu bila kuwa na mawazo mbadala...
Lets change our mindset...
Leo mtoto aliyemaliza form four akafeli akarudi mtaani...hajui what to do kabisa...kwa ajili ya kuwamezesha utumbo utumbo kama huu...
UKIONA MWANAO AU NDUGU YAKO KAFELI FORM FOUR...BASI USIHUZUNIKE...NI KWA SABABU WANAMEZESHWA UTUMBO KAMA HUU...NA UUMPE PONGEZI KUWA AKILI YAKE IMEJUA KUNG'AMUA IKAONA SIO MUHIMU KUHIFADHI UTUMBO KAMA HUO...View attachment 1042077
Sent using Jamii Forums mobile app
Herufi kubwa hizo, nazan nimeelewekaIlibidi MFUMO WA ELIMU UTOE FURSA KWA MWANAFUNZI KUCHAGUA FANI MAPEMA AKIWA SHULENI NA AKUZWE KATIKA FANI HIYO KWA AJILI YA KUPAMBANA NA CHANGAMOTO ZA MAZINGIRA ANAYOISHI...
Sent using Jamii Forums mobile app
Kama haya ndio yanayosomwa...kwa sababu hayaakisi maisha halisi wala hayagusi changamoto zake na kuzitatua...