Kufeli shule sio kufeli maisha

Kufeli shule sio kufeli maisha

Joined
Jul 7, 2021
Posts
49
Reaction score
23
Ukikutana na mwanafunzi mwenye ulemavu wa akili unaweza kumshangaza Mungu na kumchekesha shetani.

Uwezo wa kupambania masomo hana, fikra zake na stori zake ni namna ya kumvua kufuli demu mkali anaewalaza macho pale darasani.Ratiba za vigodoro, kamari na namna anavyomchukia mwalimu mnoko pale shuleni.Matokeo yake kitaaluma yanatia huruma na yeye mwenyewe anahuzunisha sana, halafu ukimuuliza mbona anafeli na hana jitihada zozote kubadili hali yake anakujibu ''Kufeli mtihani wa shule, sio kufeli mtihani wa maisha"

Ukimtazama labda maisha anayajua basi, unaishia tu kujisemea ''Mungu saidia huyu kijana" Maisha ya nyumbani kwao yamedumaa, wazazi wake wanahaha tangu jua linachomoza mpaka linatua kumsomesha aje kubadilii hali ya mambo halafu kijana mwenyewe anawaza namna ya kumdhibiti demu wake anaemlia shilingi zake anazoiba kwenye mifuko ya mashati na suruali za baba'ke kama sio pochi za mama'ke baada ya kufanya vibarua kwa mabepari weusi.

Sijui ni nani aliwamezesha huu ujinga kudharau elimu na kuona maisha baada ya kufeli shuleni ni rahisi sana bila elimu.Bahati mbaya maisha yenyewe hayategemei elimu tu ya darasani yanataka mambo mengi ikiwemo elimu unayoipata kila siku nje ya darasa.Bora hata angekuwa anajishughulisha basi hata kutafuta elimu ya nje ya darasa masikini akitoka shule ni kwenye vijiwe vya ku-bet, kuvuta bangi na kuvizia watoto wakishua wakitumwa dukani.Akitoka shule ni kwenye vibaraza vya umbea na kuchambana na mashosti zake waliofeli darasani na mtaani wanaishi kwa huruma za wasio na huruma kwa mabinti za wazazi wenzao

Mtihani wa shule kafeli na mtihani wa maisha anaelekea kufeli vilevile wala hashtuki zaidi zaidi anajitahidi kuikimbia mitihani yenyewe kwa kubagua kazi na kutaka maisha anayoyawaza kwa sababu aliaminishwa na motivational speaker kuwa ''kile unachofikiria ndicho huwa" anatumia muda mwingi kufikiria maisha mazuri anayoyapenda kuliko kuziweka fikra zake katika vitendo ili aukimbie ugonjwa wa ufukara unaowatesa nyumbani kwao.

Hebu endelea kuwashauri wadogo zako wa sekondari, hizi falsafa za ''kufeli mtihani wa shule sio kufeli mtihani wa maisha" zinazalisha kizazi cha walemavu wa akili.Shule wanafeli na maisha wanafeli vilevile na kuishia kupiga watu ngeta, kuvuta bangi, wizi na kufungua biashara ya ngono kwa mitaji ya miili yao.

Great Industrious.
There is story in everything

Sent from my Infinix X657 using JamiiForums mobile app
 
Kama hukupata privilege ya kukanyaga umande na kufikia ndoto yako ya utotoni ya kuwa Pilot Dr, Mwalimu ama Rais, usiwe na hasira kwa waliofikia ndoto za kutimiza hitajio Lao la kielimu kufika hatua walizofika Leo.

Kama umefanikiwa baada ya ama kukwama ama kwa sababu zozote zile kufikia levo flani ya elimu, usiwe na hasira na wale ambao wamefika hata kama unawazidi kiuchumi. Acha nao wafurahie kwa namna yao kile ambacho KAMWE huwezi kuwanacho hata kama unapesa kiasi gani!...
 
Naona umesoma heading tu
 
Ukikutana na mwanafunzi mwenye ulemavu wa akili unaweza kumshangaza Mungu na kumchekesha shetani.

Uwezo wa kupambania masomo hana, fikra zake na stori zake ni namna ya kumvua kufuli demu mkali anaewalaza macho pale darasani.Ratiba za vigodoro, kamari na namna anavyomchukia mwalimu mnoko pale shuleni.Matokeo yake kitaaluma yanatia huruma na yeye mwenyewe anahuzunisha sana, halafu ukimuuliza mbona anafeli na hana jitihada zozote kubadili hali yake anakujibu ''Kufeli mtihani wa shule, sio kufeli mtihani wa maisha"

Ukimtazama labda maisha anayajua basi, unaishia tu kujisemea ''Mungu saidia huyu kijana" Maisha ya nyumbani kwao yamedumaa, wazazi wake wanahaha tangu jua linachomoza mpaka linatua kumsomesha aje kubadilii hali ya mambo halafu kijana mwenyewe anawaza namna ya kumdhibiti demu wake anaemlia shilingi zake anazoiba kwenye mifuko ya mashati na suruali za baba'ke kama sio pochi za mama'ke baada ya kufanya vibarua kwa mabepari weusi.

Sijui ni nani aliwamezesha huu ujinga kudharau elimu na kuona maisha baada ya kufeli shuleni ni rahisi sana bila elimu.Bahati mbaya maisha yenyewe hayategemei elimu tu ya darasani yanataka mambo mengi ikiwemo elimu unayoipata kila siku nje ya darasa.Bora hata angekuwa anajishughulisha basi hata kutafuta elimu ya nje ya darasa masikini akitoka shule ni kwenye vijiwe vya ku-bet, kuvuta bangi na kuvizia watoto wakishua wakitumwa dukani.Akitoka shule ni kwenye vibaraza vya umbea na kuchambana na mashosti zake waliofeli darasani na mtaani wanaishi kwa huruma za wasio na huruma kwa mabinti za wazazi wenzao

Mtihani wa shule kafeli na mtihani wa maisha anaelekea kufeli vilevile wala hashtuki zaidi zaidi anajitahidi kuikimbia mitihani yenyewe kwa kubagua kazi na kutaka maisha anayoyawaza kwa sababu aliaminishwa na motivational speaker kuwa ''kile unachofikiria ndicho huwa" anatumia muda mwingi kufikiria maisha mazuri anayoyapenda kuliko kuziweka fikra zake katika vitendo ili aukimbie ugonjwa wa ufukara unaowatesa nyumbani kwao.

Hebu endelea kuwashauri wadogo zako wa sekondari, hizi falsafa za ''kufeli mtihani wa shule sio kufeli mtihani wa maisha" zinazalisha kizazi cha walemavu wa akili.Shule wanafeli na maisha wanafeli vilevile na kuishia kupiga watu ngeta, kuvuta bangi, wizi na kufungua biashara ya ngono kwa mitaji ya miili yao.

Great Industrious.
There is story in everything

Sent from my Infinix X657 using JamiiForums mobile app
Huu ni ukweli mchungu
 
Maisha ni mchaka mchaka hata ukifaulu kote bado hautapumzika kushindana
 
Watu wana-comment bila hata ya kusoma kilichoandikwa Bongo-nyoso kweli.
 
Sahihi kabisa hako kamsemo kanawaharibu, kufeli shule sio kufeli maisha huku anavuta bangi mwingine anavaa visket akiinama nyuma kinapanda usawa wa mapaja dah! Maisha ni mchaka mchaka sana
 
Ukikutana na mwanafunzi mwenye ulemavu wa akili unaweza kumshangaza Mungu na kumchekesha shetani.

Uwezo wa kupambania masomo hana, fikra zake na stori zake ni namna ya kumvua kufuli demu mkali anaewalaza macho pale darasani.Ratiba za vigodoro, kamari na namna anavyomchukia mwalimu mnoko pale shuleni.Matokeo yake kitaaluma yanatia huruma na yeye mwenyewe anahuzunisha sana, halafu ukimuuliza mbona anafeli na hana jitihada zozote kubadili hali yake anakujibu ''Kufeli mtihani wa shule, sio kufeli mtihani wa maisha"

Ukimtazama labda maisha anayajua basi, unaishia tu kujisemea ''Mungu saidia huyu kijana" Maisha ya nyumbani kwao yamedumaa, wazazi wake wanahaha tangu jua linachomoza mpaka linatua kumsomesha aje kubadilii hali ya mambo halafu kijana mwenyewe anawaza namna ya kumdhibiti demu wake anaemlia shilingi zake anazoiba kwenye mifuko ya mashati na suruali za baba'ke kama sio pochi za mama'ke baada ya kufanya vibarua kwa mabepari weusi.

Sijui ni nani aliwamezesha huu ujinga kudharau elimu na kuona maisha baada ya kufeli shuleni ni rahisi sana bila elimu.Bahati mbaya maisha yenyewe hayategemei elimu tu ya darasani yanataka mambo mengi ikiwemo elimu unayoipata kila siku nje ya darasa.Bora hata angekuwa anajishughulisha basi hata kutafuta elimu ya nje ya darasa masikini akitoka shule ni kwenye vijiwe vya ku-bet, kuvuta bangi na kuvizia watoto wakishua wakitumwa dukani.Akitoka shule ni kwenye vibaraza vya umbea na kuchambana na mashosti zake waliofeli darasani na mtaani wanaishi kwa huruma za wasio na huruma kwa mabinti za wazazi wenzao

Mtihani wa shule kafeli na mtihani wa maisha anaelekea kufeli vilevile wala hashtuki zaidi zaidi anajitahidi kuikimbia mitihani yenyewe kwa kubagua kazi na kutaka maisha anayoyawaza kwa sababu aliaminishwa na motivational speaker kuwa ''kile unachofikiria ndicho huwa" anatumia muda mwingi kufikiria maisha mazuri anayoyapenda kuliko kuziweka fikra zake katika vitendo ili aukimbie ugonjwa wa ufukara unaowatesa nyumbani kwao.

Hebu endelea kuwashauri wadogo zako wa sekondari, hizi falsafa za ''kufeli mtihani wa shule sio kufeli mtihani wa maisha" zinazalisha kizazi cha walemavu wa akili.Shule wanafeli na maisha wanafeli vilevile na kuishia kupiga watu ngeta, kuvuta bangi, wizi na kufungua biashara ya ngono kwa mitaji ya miili yao.

Great Industrious.
There is story in everything

Sent from my Infinix X657 using JamiiForums mobile app
Uko sahihi.. Huo msemo unadumaza sana. Inategemea amefeli kwa sababu gani. Kama aliugua.. au alipata janga la kifamilia... ni sawa. Lakini mchapa kazi anaanzia shuleni. Kama mtoto ni mvivu shuleni, atakuwa mvivu wa maisha. Na kufeli mara nyingi ni uvivu tu.
 
Watu wana-comment bila hata ya kusoma kilichoandikwa Bongo-nyoso kweli.
Mwandishi amekosea title yake pia. Angeandika title kama: Kwa nini msemo wa "Kufeli Shule Sio Kufeli Maisha" Sio Sahihi
 
Halafu kuna watu watakuja kutoa mifano ya FB Zuck na Bill Gates. Kwanza wao hawakufeli shule.. waliacha shule sababu ya ndoto zao. Pili.. wazazi wao walikuwa na uwezo sana wa kuwasaidia kifedha ili ndoto zao zitimie. Tusijifananishe nao.
 
Back
Top Bottom