Askari Muoga
JF-Expert Member
- Oct 22, 2015
- 6,112
- 4,663
Uchambuzi wako mbona finyu sana!Matokeo mabaya kwa shule za serikali angalieni wakuu wa shule wengi ni wabovu na sio wabunifu wanashindwa kuwasimamia walimu waho ivyo serikali mu deal na hawa wakuu pia ikiwezekana muwachague walimu wa sayansi wawe wakuu wa shule
jibu lako finyu sana nachambua niniUchambuzi wako mbona finyu sana!
Mkuu tuliza akili na uache kutoa povu, hili andiko halina mashiko na pili haya uliyoyaandika yanatokana na utafiti ganiiiiii? Mbona serikali ilishakataza uuzaji na unywaji Wa VIROBA???????.........Matokeo mabaya kwa shule za serikali angalieni wakuu wa shule wengi ni wabovu na sio wabunifu wanashindwa kuwasimamia walimu waho ivyo serikali mu deal na hawa wakuu pia ikiwezekana muwachague walimu wa sayansi wawe wakuu wa shule
Shule za serikali enzi zetu zilikuwa bestKwani kuna siku shule za serikali ziliwahi kufaulisha kuliko shule za private..!?
hoja yko haina mashiko.ufaulu wa mwanafunzi ni swala pana.Matokeo mabaya kwa shule za serikali angalieni wakuu wa shule wengi ni wabovu na sio wabunifu wanashindwa kuwasimamia walimu waho ivyo serikali mu deal na hawa wakuu pia ikiwezekana muwachague walimu wa sayansi wawe wakuu wa shule
Ko walimu wa sayansi wa na nn cha ajabu katika kuongoza shule kuliko walimu wengine?Matokeo mabaya kwa shule za serikali angalieni wakuu wa shule wengi ni wabovu na sio wabunifu wanashindwa kuwasimamia walimu waho ivyo serikali mu deal na hawa wakuu pia ikiwezekana muwachague walimu wa sayansi wawe wakuu wa shule
Haya yoote ni madhara ya Shisha,, makonda kajitahidi kupigania matumizi Shisha ,, sasa madhara yke ndo haya post hazieleweki.Mkuu tuliza akili na uache kutoa povu, hili andiko halina mashiko na pili haya uliyoyaandika yanatokana na utafiti ganiiiiii? Mbona serikali ilishakataza uuzaji na unywaji Wa VIROBA???????.........
Hahahaha..........kwanini umejibu andiko la chizi
Mawazo haya bila shaka yanatoka kwenye SIMtankMatokeo mabaya kwa shule za serikali angalieni wakuu wa shule wengi ni wabovu na sio wabunifu wanashindwa kuwasimamia walimu wao hivyo serikali m-deal na hawa wakuu pia ikiwezekana muwachague walimu wa sayansi wawe wakuu wa shule.
Mh! Mkuu huyu aliepiga hii picha namtangazia ajira, ila nimecheka sana nahic watu watakua wameniingiza kwenye wale watu wanne
Mimi natofautiana na mleta mada. Unavyojaribu kulinganisha matokeo ya sasa na ya hapo nyuma jaribu pia kuzingatia mabadiliko katika udahili wa wanafunzi wa kidato cha kwanza. Zamani walidahiliwa wachache na wenye uwezo mkubwa kutokana na ushindani uliochangiwa na uchache wa shule za sekondari wakati huo. Leo kila kata ina sekondari, tena baaadhi ya kata kuna sekondari zaidi ya moja. Chanzo cha wanafunzi ni shule za msingi zilizo ndani ya kata. Wanasiasa wanataka madarasa yajae wanafunzi wa kidato cha kwanza. Hivyo ufaulu wa darasa la saba inabidi ushushwe ili kukidhi haja. Matokeo yake darasa la saba zima katika shule husika linahamia sekondari. Halafu wasipofaulu sekondari lawama abebeshwe mwalimu. Hii sio sawa. Hata zifanyike jitihada gani, kama mtindo ndio huu wa kuhamisha standard seven karibia wote kwenda kidato cha kwanza, usitegemee mabadiliko katika ufaulu. Hivyo mtoa mada unakosea sana kuwashambulia wakuu wa shule. Hapo sijaongelea sababu nyingine ambazo ni nyingi tu zikihusisha maslahi ya walimu.
Mmmmmh, ndugu. Unaongelea wito dunia ya leo? Yaani mtu apoteze miaka akisaka elimu, atumie resources za wazazi, alipie mkopo wa heslb indefinitely halafu unasema akafundishe kwa wito? Hapana ndugu hizo zama zimepita. Hawa hawa waalimu wasaka ajira(kama unavyowaita) wapewe incentives za kutosha , na mazingira ya elimu yaboreshwe kwa ujumla wake utaona matokea.Mkuu;
Natofautiana nawe kwa mengi tu. Huwezi niambia kuwa kwa sababu wanafunzi wengi huingia kidato cha kwanza kwa kufaulu kwao wengi ndio kunawafanya wafeli. Unataka kusema hakuna hata mmoja tu mwenye kuelewa?? Nadhani sema kuwa waalim wengi hawana wito. Wengi wamekuja kufanya kazi zao na wale wenye wito wa hiyo kazi ndo hao hukimbilia private kwa sababu wanasikika sifa zao hivyo hutwaliwa private chap chap.
Waalim ni wito sio kazi. Mwenye wito anacho kipaji cha kufundisha. Kama umeenda kufanya kazi hutakaa ueleweke. Kwa sababu unaangalia saa ukutani 45 min zako ziishe utoke. Unakopi skim ili kuwafurahisha wakaguzi.
Mkaguzi mwenyewe hana usafiri wa kufika huko uliko mara kwa mara.
Serekali; Badala ya kuwatumbua waalim wakuu, tafuteni waalim wenye wito sio wasaka ajira. Haiwezekani mwalim ufundishe mwaka mzima halaf wasikuelewe na mwakani uendelee. Huna wito.