Kufanya mapenzi ofisini

Kind

JF-Expert Member
Joined
Oct 29, 2011
Posts
247
Reaction score
40
Nakereka sana na baadhi ya wafanyakazi wanaotumia ofisi zao kufanya mapenzi. Wanakaa muda mrefu wakisubiri wenzao watoke ofisini wala hawaangalii kama wanyakazi wengine wapo.
 
watu wengine wamelaaniwa kabisa wanahitaji maombi ya haraka sana na si ulimbukeni ni laana kabisa.
 
Kunasiku jamaa anafanya ufuska si tupo tunamsikia tuu anazima taa siku hiku hizi tusimuone ila sauti inasikika
 
Kunasiku jamaa anafanya ufuska si tupo tunamsikia tuu anazima taa siku hiku hizi tusimuone ila sauti inasikika

hahahaaa haaaa uli-mind alivyozima taa coz ulikosa chambo, ukaambulia migunooo!
 
Dah inakuwa wamekosa sehemu jamani ama uchumi hauruhusu kwenda hotel au maugwadu!!!!!

Sent from my BlackBerry 9360 using JamiiForums
 
Ni ofisi za serikali au binafsi? Ndio mageuzi hayo ya kidijitali katika anga zote mkuu.
 
Nakereka sana na baadhi ya wafanyakazi wanaotumia ofisi zao kufanya mapenzi. Wanakaa muda mrefu wakisubiri wenzao watoke ofisini wala hawaangalii kama wanyakazi wengine wapo.

Too brief...Yapi yamekusibu?
 
Nakereka sana na baadhi ya wafanyakazi wanaotumia ofisi zao kufanya mapenzi. Wanakaa muda mrefu wakisubiri wenzao watoke ofisini wala hawaangalii kama wanyakazi wengine wapo.

Sijaelewa mkuu, wekundu na ubluu unapishana kama kushoto na kulia!!
 
mie nilimsikia mtu mmoja hapa job kwetu akisema kuwa watu wengi maofisini wenye affairs huwa wanatumia washrooms au toilets kudinyana maana unakuta wote ni wana ndoa so kwenda guest au hotel wanakwepa ushahidi. Na kule kubaki job kudinyana ofcn inakuwa haina daught maana watasingizia kumalizia viporo au kazi nyingi na kesho inatakiwa kumbe nusu saa nzima wanapekechuana mauno tuu.
All in all hapo ndo ujue binadamu ni kama wanyama, wewe mtu unawako home, lakini kutwa kuchwa kupekenyua vya wengine huku wako nae home anasikia baridi, kaazi kwelikweli hasa maofisi yasiyo na kamera ni balaa.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…