Kufanya mapenzi ndotoni

Mimi mara naota nafanya mapenzi mara nimezaa ata nanyonyesha saingine naota nimezaa mzoga na amekufa.itakuwa ni jini mahaba?
 
mzee mimi hali hii inanikumba kila siku yaan haipiti day mara nyngne najikuta nafanya na watu ninaowajua kabisa then asbh najikuta nimejichafua pia nina asili ya kupenda wanawake warenbo sana sana duuu pia nikipata demu sikai nae 6 months
 
mzee inabidi uombaje ili kuondokana na hao majini?
 
Ndo Maana bikra siku hizi adimu Kia sababu zinatolewa hadi usingizini au sijaelewa vizuri apo Maana ulisema ni Tendo original ndo maana unachafuka
 
Mh........Audhubilah Minal sheitani rajiim
 
Usimtishe...
Hawa waganga hawa kazi yao ni kutisha tuu na kupandikiza hofu kwenye jamii ili mpige hela, binafsi nilishafanya mapenzi na watanzania wengi tuu nkupitia ndoto, nipo nadunda na hali ile imekwisha, habari za kusema mtu hayupo salama ni mazingira unaandaa ya kutafuta kufuatwa inbox uanze kutuambia tukuletee kuku wa manjano, tusitishane ndugu yangu
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…