Kufanya mapenzi ndotoni

Mmmh mi naotaga aisee wakati mwingine zinakuja sura za ndugu zangu. Afu rahaaaaa yake sasa....
 
Duuuh
 
Atakuwa Nyani ngabu huyo tu😛😀😀😀😀
 
Kama utachunguza wakati huo ulikuwa katika mahusiano ambayo yalikuwa hayakutoshelezi. Sasa ile gap kati ya ulichofikiria kukipata na unachokipata vilikupa mawazo ambayo matokeo yake ni hizo ndoto zilizokuja mahususi ili kubalance. Usihofu si jini mahaba wala nini!! Umepata anakufikisha ndio maana wenge limekwisha!!!
 
Mkuu Hongera sana kwa ilo. Kwa upande wa nyoka huwa unakanyaga nyoka gani?


 
Uyo nyoka unamkanyaga wakati umevaa viatu au pekupeku.?

Afu wakati nipo shule ya msingi kuna watu walikuja na nyoka wakawa wanamchezea, kweli Mkuu yesu wetu ni kiboko. Akikupa mamlaka unafanya chochote

 
Sasa ukifanya na mtu unaemfahamu
Utakuwa umefaidi
 
Imani potofu sana hizo. ..
Mkuu,futa ujinga fanya maisha ila kama hizo ndo profession yako bado utakula vichwa nchi ina wajinga wengi sana hata baadhi ya wasomi wetu
 
Dah.... Ningepata jini wa kike matata sana...ambaye namgonga daily ingekuwa poa sana
 
Mimi najiuliza watu mnaoota hizo ndoto mnawaza nini? Nini hasa kinaendelea kwenye mawazo yenu? Ni kwamba emotional intelligance ipo chini sana hamuwezi kuthibiti hisia zenu? Hayo mambo kuhofia ndoto uliyoota unapoteza muda tu. Eti unaamini kuna watu wanakuja kufanya ngono na wewe kwa nguvu za kishirikina.....seriously?

Sasa jibu linashangaza kwa watu wanaoamini uchawi na mambo yote ya imani zisizo na kichwa wala miguu wanakuambia "wewe hayajakukuta" hahahaaa
 
Mimi pia ni mwaka Jana kila nikilala mchana tu kosa lazima niote nafanya mapenzi na naskia raha ya ajabu ila saiv wala
 
Sasa siku nyingine akirudi;mlazimishe akuoe sio kula mzigo tu wakati anagharamia mwingine.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…