Dr wa Kaliua
JF-Expert Member
- Sep 20, 2020
- 1,636
- 3,812
Mkuu hili ni suala la kitabibu mkuu toa fact! Huu sio uzi wa kula tunda kimasiharaNdio.... Inapunguza
huo utafiti weno hapana, tuendele na show
😛😛😛 Tunakula pesa zetu jaman tukifa basi tunasemaje nasemaje show show
Kila siku Dar wanakufa 6 kwa ajali, bado hujaenda huko mahospitalini. Sisi tusubiri mda wetu utafika tu, wala hatuna haja ya kushukuru as death is inevitable, sooner or later.Mshukuru Mungu kwa afya bora,
Moja kwa moja niende kwenye mada,
Ninahamu kubwa ya kufahamu kwa mwanaume anaefanya mapenzi kila siku na mke wake ana uwezekano wa kupunguza uwezekano wa kumpa mimba mwanamke?
Kifupi, kufanya mapenzi kila siku hupunguza sperm mobility.
Hupunguza sperm motility?
Hupunguza sperm morphology?
Naomba mnisaidie kwa Faida yangu na faida ya watu wengine.
Mshukuru Mungu kwa uzima.
Dar es salaam kila siku watu 6 wanakufa kww ajali ila wewe upo.
Hahahaha sawa kwaiyo ingekuwa masuala ya namba tungeenda sawaMi mwalimu wa hesabu sijui kitu
Yeah,kiasi chakeHahahaha sawa kwaiyo ingekuwa masuala ya namba tungeenda sawa
Tulia mkuu!jichanganye ndugu mwandishi
Haya Hongeraa sanaYeah,kiasi chake
Sawa mkuuHaya Hongeraa sana
Basi ngoja tusikilizie wataalamu wa afya
Best wishesKila siku Dar wanakufa 6 kwa ajali, bado hujaenda huko mahospitalini. Sisi tusubiri mda wetu utafika tu, wala hatuna haja ya kushukuru as death is inevitable, sooner or later.