Hapo hakuna kuchagua. Akitoka hapo kesho anachimba shimo lianguke la Konyagi ili atoe lock. Kukaa karibu na mlima barabarani rahaaaaaa yaani mpaka basiii. Tunajifaidia mengi sana, tangu fidia ya Magufuli mpaka vya wenye ajaliiii. Yaani we acha tu. Hii ndo roho ilowaingia vijana leo