Hata mimi hivyo hivyo nikishika kwa mikono miwili nakuwa siko comfortable, halafu mbaya zaidi ninaendesha kwa miguu miwili hata automatic mguu wa kushoto ndo unashika brake wanasema ni risk lakini nikijaribu acha nikatumia wa kulia nashindwa. Ni mwaka wa 12 sasa na sijawahi pata ajali.