Nakumbuka kuna wakati nko kwenye harakati dodoma,nlikuwa natoka na baiskeli kondoa,soya napita mwakisabe naelekea dodoma vijijini
Segara bombani,nlikuwa pia natoka segara mpk aneti na baiskeli...
Baiskeli iliniweka ufit sana
Kweli, enzi hzo bodaboda hakuna aise
Wa magetini ndiyo wanaojua baiskeli tangu wakiwa wadogo kabisa. Wanaishi kama Ulaya. Ulaya huwezi kukuta mtu asiyejua kuendesha baiskeli kwani tangu utoto wanakuwa nazo.
Kweli kabisa watoto wa kishuwa walikuwa wanatusumbua sana na bmx, mountain bike zao,wengine walikuwa na 50 kubongoa zile
Utotoni nlikuwa nawapora sana baiskeli watoto wa kishuwa wa obay, masaki,adaestate
Maana ukiangalia we kuipata issue
Kipindi nimejua baiskeli those were the funny moments as a child ukitoa kuangalia cartoon. Basi kwenye la 4 ivi nilikuwa napiga round za kutosha kitaa.
Afadhali wewe mjanja hujawahi endesha baiskeli. Wengi wanaondeshaga baiskeli wanaupungufu wa nguvu za kiume kwasababu kile kiti kinadisturb Sana mishipa ya poumbou kwasababu ya kunyonga na kutwist kiuno huku umekalia poumbou na kuzikandamiza kwenye kiti
Kipindi nimejua baiskeli those were the funny moments as a child ukitoa kuangalia cartoon. Basi kwenye la 4 ivi nilikuwa napiga round za kutosha kitaa.
Kweli kabisa watoto wa kishuwa walikuwa wanatusumbua sana na bmx, mountain bike zao,wengine walikuwa na 50 kubongoa zile
Utotoni nlikuwa nawapora sana baiskeli watoto wa kishuwa wa obay, masaki,adaestate
Maana ukiangalia we kuipata issue
Kuna rafiki yangu aliporwa baskeli mitaa ya maandazi road inawezekana wewe ndio mporaji! Alipigwa kibao kimoja cha uso kuja kupata akili kakaa chini baskeli wala aliempiga hamuoni πππ
Mie baiskel ilinishinda, siku ya kwanza kufundishwa nilipoanguka na kujifunza kukaishia hapo. Unaambiwa ati ili ujue kuendesha baiskel laziim mpk uumie......kuumia huko vipi