Mbona mmi sijui kuendesha baiskeli na uzee huu na sioni aibu yoyote? Sikutaka kujifunza na sikuwa na sababu ya kujifunza kuendesha baiskeli na mdogo wangu alikuwa na mountain bike!
Aise mm baiskeli nmeendesha sana sana,na mpaka leo nyumbani nnayo moja nmeininginiza juu
Nikiwa mitaa ya kino siku mzuka ukinipanda naamsha nayo mjini chap
Kuendesha baiskeli, hakupiti, maana ni sehemu ya mazoezi, china wako mbele na ulaya wametuacha mbali sana kimaendeleo, lakini bado watu wanatembelea baiskeli. na kuna hata mashindano ya baiskeli.
Mbona mmi sijui kuendesha baiskeli na uzee huu na sioni aibu yoyote? Sikutaka kujifunza na sikuwa na sababu ya kujifunza kuendesha baiskeli na mdogo wangu alikuwa na mountain bike!
Afadhali wewe mjanja hujawahi endesha baiskeli. Wengi wanaondeshaga baiskeli wanaupungufu wa nguvu za kiume kwasababu kile kiti kinadisturb Sana mishipa ya poumbou kwasababu ya kunyonga na kutwist kiuno huku umekalia poumbou na kuzikandamiza kwenye kiti
Mbona mmi sijui kuendesha baiskeli na uzee huu na sioni aibu yoyote? Sikutaka kujifunza na sikuwa na sababu ya kujifunza kuendesha baiskeli na mdogo wangu alikuwa na mountain bike!
Kwanza kutojua kuendesha chombo chochote cha usafiri, hakuna aibu, ispokua , umuhimu unakuja kulingana na mazingira unayoishi.
Mfano; Mazingira unayoishi pikipiki ndicho chombo cha usafiri mnachokitemea kusafiria zaidi. kuna umuhimu na wewe kujua kuendesha hata kama hujanunua ya kwako.
Kuendesha baiskeli, hakupiti, maana ni sehemu ya mazoezi, china wako mbele na ulaya wametuacha mbali sana kimaendeleo, lakini bado watu wanatembelea baiskeli. na kuna hata mashindano ya baiskeli.
Mbona mmi sijui kuendesha baiskeli na uzee huu na sioni aibu yoyote? Sikutaka kujifunza na sikuwa na sababu ya kujifunza kuendesha baiskeli na mdogo wangu alikuwa na mountain bike!
Pikipiki sishangai, ila baiskeli kuna umri unakuwa na kimuhemuhe sana cha kujifunza na marafiki hasa umri wa miaka 9 nakuendelea.
Ila sijui kwa wale wa kushinda wamefungiwa magetini.
Wa magetini ndiyo wanaojua baiskeli tangu wakiwa wadogo kabisa. Wanaishi kama Ulaya. Ulaya huwezi kukuta mtu asiyejua kuendesha baiskeli kwani tangu utoto wanakuwa nazo.