kante
Member
- Dec 31, 2015
- 31
- 9
Niliaply mwaka jana kwa vigezo vya Tcu 2 point cut off kwa maana ya E E nikaahirisha mwaka wa masomo chuo na kupewa barua ya kukubaliwa kuahirisha mwaka na kutakiwa kutoa taarifa ya kwendelea na masomo ktk mwaka wa masomo 2016/17 je kwa uu utaratibu wa principal mpya wa DD au point 4.0 je chuo kitaniruhusu kwendelea na masomo mwaka uu
ASANTE kwa ushauri na michango yenu