PCGAMES
JF-Expert Member
- Apr 11, 2013
- 802
- 1,192
Natumia Toshiba Laptop, kuna software inaitwa PC health monitor inatabiri HDD yangu aina ya Toshiba itakuja kuaribika au kufa. Sasa kitu ambacho kinanichanganya hii HDD naiona inamendeleo mazuri tu inapiga kazi kama kawaida. Naomba ushauri na msaada kama hili jambo la kuwa hdd yangu itakufa kama ni kweli au ni kawaida ya hizi software kuzingua. Na kama ni kweli kinachomaanishwa na hiyo software je kuna uwezekano wa kusolve tatizo? Naitaji msaada hasa kwa wale ambao angalau wana aidia na haya mambo siitaji wakurupukaji na wale wanaotoka nje ya point bila sababu za msingi maana wengine jf kwetu ni shule. Natanguliza shukrani