Eli wallach
Member
- Oct 17, 2018
- 25
- 21
Zikiwa zimesalia miezi kadhaa tuingie tena kwenye fainali za Uchaguzi wa SERIKALI ZA MIKOA AMBAO BILA SHAKA UPO CHINI YA TAMISEMI OFISI YA WAZIRI MKUU
huku tukiona katika vyama pinzani watu waking'oka inaleta taswira gani kuelekea uchaguzi huu
Je uongozi ulioko madarakani utakuwa
Na nguvu kubwa
Na upinzani je utatumia mbinu gani dhidi chama tawala
Karibu tujadili....