Nchi Kavu JF-Expert Member Joined Sep 11, 2010 Posts 4,289 Reaction score 2,472 Apr 1, 2015 #1 Uwanjani ni ukawa na ccm. naam mpira ulishaanza muda sema matangazo yalikatika. naona zitto aligombana na kocha wake hapa sasa yuko benchi la kudumu. mpira unaendelea...
Uwanjani ni ukawa na ccm. naam mpira ulishaanza muda sema matangazo yalikatika. naona zitto aligombana na kocha wake hapa sasa yuko benchi la kudumu. mpira unaendelea...