Phillemon Mikael
Platinum Member
- Nov 5, 2006
- 10,590
- 8,726
Where is Dr. slaa???
PIGA UA CHADEMA IS SLAA and ZITTO!!!!!!!!! QUOTE]
siku zote ccm wanachowashinda nacho wapinzani ni usemi wao ...."mwanachama hawezi kuwa maarufu kuliko chama"...ila ccm hao hao ndio hudanganya wapinzani wanaochipukia kuwa wao ndio chama...
waliotaka kujifanya maarufu kuliko chama ccm mmeona wamewafanyaje..."juzi jk kamuonya mwakyembe na wapambanaji kuwa wasitake kuwa maarufu kuliko chama""
na wanaotetea wapinzani kuhama kama suluhisho....mbona hamuoni ajabu watu kama NAPE ,SITTA na wenzao hawahami??? na wametendewa mambo makubwa kuliko hata yaliyotokea CHADEMA..Nadhani mwanasiasa mwaminifu anayependa chama chake hatakikimbia ila atapigania mabadiliko akiwa ndani........mbona jk hakukimbia 1995...,salim hakukimbia 2010...leo iweje mnamshawishi ZITTO amfuate KABOUROU.....kama frustration CCM mbona zimejaa...tusitake shotcut solutions kwa matatizo magumu!!
Yatasemwa mengi yaliyo nyuma ya pazia mkuu,tusubiri na tuone- Haya niliyasema siku nyingi sana nenda kwenye thread za ile ishu, mkanishupalia sana hapa na uchunguzi wangu, sasa mnaona mwenyewe Zitto amekubali,
- Mkulu Ushiwarombo uko wapi maana wewe ndiye uliyekua mbishi sana kwamba ninatunga zile habari za kupatikana kwa text messages kuhusu computers kati ya yule kijana aliyeko jela na mbunge mmoja maarufu sana, sasa si uona haya ya leo yanajisema yenyewe! Aibuu!
Respect.
FMEs!
kamanda umemaliza kila kitu hapa.pia ukiweza soma gazeti la mwananchi.co.tz utaona maneno ya mama zitto kabwe.- yale yale aliyoyasema obama kule ghana, africans tuache tabia ya kuwekeza kwenye majina ya viongozi, tujifunze kuwekeza kwenye sound policies hii thread na yaliyojiri ni mfano mkubwa sana wa maneno ya obama.
- among all, chadema sikutegemea kukutwa na haya inasikitisha sana, sawa huenda mmekubaliana na kuyamaliza, lakini swali la the big picture linapaswa kua ni under who´s expense? Somebody must pay for makubaliano yenu ya kumfanya zitto arudishe fomu, now who is that? Kama sio sisi wananchi wa tanzania?
- i mean, hii ndio mnaita demokrasia makini? Mimi nilifkiri demokrasia makini huanzia kwenye box la kura, kumbe inaweza kupatikana na busara za wazee wa chama? Yaani na nyinyi chadema mnakubaliana na tabia za ccm za busara za spika? Nimeona a lot of spinning humu mnapoteza muda bure, sana sana sasa mnawapa ccm uhuru wa kuzidi kutuchezea wananchi wa taifa hili, kama na ninyi mnafanya kwa nini wao wasifanye?
- yaaani mnaogopa mbowe kusimama na zitto tu? Lakini hamuogopi mbowe kusimama na rais wa sasa wa ccm? This is incredible, zitto alipofukuzwa bungeni wengi tumelia kuwa ameonewa, sasa mnakuja na hizi nonsense ambazo ni clear kwamba kumbe hakuonewa kufukuzwa bunge kama ninawasoma vizuri humu na hizi spin zenu! Hamna hata aibu! Hivi mafisadi walimtuma zitto kuchukua fomu ya chadema, sasa waliomtuma kuwapigia kelele mafisadi kule bungeni mpaka kufukuzwa ni nani hasa? Hivi hili taifa tumemkosea nini mungu? Sasa nani wa kumuamini tena hapa kati yenu chadema na ccm?
- simtetei zitto wala mbowe, ninaitetea demokrasia ambayo hapa imepigwa chini kwa manufaa ya watu binafsi huko chadema na sio ya chama, no way demokrasia makini sio kumzuia mgombea mwenye akili ya kitoto na ambaye hajamkomaa kiakili, demokrasia ni absolutely opposite ya hii theory kwa sababu inataka apewe nafasi apigwe na kura za wananchi, lakini sio kumzuia kugombea, kuna ubovu mnajaribu kuuficha, sijui ni nini hasa mnachojaribu kukificha chama cha demokrasia makini? What is it?
- yaani kweli mnajaribu ku-pull a monkey on us wananchi na huku tunaona kwa macho yetu kwamba mnachosema sio ukweli ila ni zile zile siasa za ccm? Mnakuja hapa kumchafua zitto na filimbi nyingi za kuwalaumu ccm, badala ya kusimama na kubeba msalaba wenu? Yes i said it huko chadema kuna uozo kama wa ccm, ila mnajaribu kuuficha na busara za wazee lakini hamsemi nani atakayelipia kwa sababu anytime ukiuminya ukweli lazima kuwe na price to be payed, ni simple life maths.
- mnaleta spin za ajabu hapa kumchafua zitto, sasa kwanini msiruhusu akajimalize kwenye uchaguzi kama kweli ni mchafu kama mnavyodai? Aibuu sana hii watu tulikua tunawaamini na kuwategemea kumbe ni wale wale ccm tu, hivi mimi nimesema mara ngapi hapa kwamba the best idea ni ku'do away na viongozi wote na kufuta vyama vyote na kuanza na upya, nilisema hayo kwa sababu ya kutomuamini anybody, i mean kosa la zitto ni nini hasa kuchukua fomu ya mwenyekiti?
- chadema kwa hili mmetuangusha wengi sana na mnanuka kama mafisadi ndani ya ccm tu, haya mafisadi kumbe yapo kote kote sasa dawa ni kuyajua yalioko chadema maana ya ccm yanajulikana tayari, maana hii ni aibu ya the century hata mki'spin vipi you are rotten kama mafisadi ya ccm tu, dawa ni kutunga katiba mpya ya kufuta vyama vyote vya siasa tanzania na marufuku viongozi wote wa sasa kugombea uongozi tena tukianza na vyama vipya, i mean this is the worst ever!
yaani chadema chama cha demokrasia makini kinamzuia mwanachama wake kugombea uongozi kwa sababu ya kumuogopa kama ccm na mrema, na kuanza kumuita majina kibao, ya kumchafua halafu eti atarudi bungeni tena kwa tiketi ya chama hicho na kuwa na heshima ile ile kutoka kwa sisi wananchi, halafu na chadema nayo itaendelea kuwa na heshima ile ile kama zamani, yaani kweli na ninyi chadema kama ccm mnatufanya sisi wananchi wa tanzania ni kama watoto wadogo tusio na akili!
shame on all of you mnaohusika na hii nonsense ya busara kama za spika! Kule ccm zile busara za spika ziligahrimu shillingi millioni 100 hela zetu wananchi walipa kodi, sasa chadema tuambieni huko kwenu hizi busara zitatumika hela ngapi na za nani?
respect.
field marshall es!
Where is Dr. slaa???
PIGA UA CHADEMA IS SLAA and ZITTO!!!!!!!!! QUOTE]
siku zote ccm wanachowashinda nacho wapinzani ni usemi wao ...."mwanachama hawezi kuwa maarufu kuliko chama"...ila ccm hao hao ndio hudanganya wapinzani wanaochipukia kuwa wao ndio chama...
waliotaka kujifanya maarufu kuliko chama ccm mmeona wamewafanyaje..."juzi jk kamuonya mwakyembe na wapambanaji kuwa wasitake kuwa maarufu kuliko chama""
na wanaotetea wapinzani kuhama kama suluhisho....mbona hamuoni ajabu watu kama NAPE ,SITTA na wenzao hawahami??? na wametendewa mambo makubwa kuliko hata yaliyotokea CHADEMA..Nadhani mwanasiasa mwaminifu anayependa chama chake hatakikimbia ila atapigania mabadiliko akiwa ndani........mbona jk hakukimbia 1995...,salim hakukimbia 2010...leo iweje mnamshawishi ZITTO amfuate KABOUROU.....kama frustration CCM mbona zimejaa...tusitake shotcut solutions kwa matatizo magumu!!
- Mkulu PM, with all due respect enough you are too big na hizi comparison za CCM, mimi nilidhani you guys are better than CCM, sasa kama kila mfano wa matatizo ya Chadema yataliganishwa na ya CCM maana yake ni nini kwamba wananchi wa Busanda na Biharamulo kumbe hawakuwa wajinga?
- Come on brother, Zitto aende asiende he is done kama ambavyo ni ninyi pia kama chama you are done, as far as politics za taifa are concerned you are both done na huu upuuuzi, kumzuia Zitto kugombea kwa maneno mengine ni kukubali kwamba Zitto is bigger than Chadema, waache wafu huko CCM wakajizike wenyewe lakini huwezi kuwaiga wafu na kujaribu ku'justify ufu wao kwa ajili ya matatizo yako yanayokupelekea huko huko kwenye ufu mkuu!
- Hapa mkuu ni lazima ukubali kwamba Zitto is bigger than Chadema, asingekua mngemruhusu akajimalize mwenyewe kwenye box la kura! I am very dis'appointed na hii tabia za Chimwaga. CCM mafisadi wachache wanaua demokrasia na ninyi Chadema mnatumia tabia zile zile za JK kuua demokrasia Chadema halafu unaitumia mifano hiyo bila hata aibu ndugu yangu, mifano ya kina Kusila kudai uhaini unatumia kuhalalisha kumynima mwananchi kugombea uongozi Chadema?
Respect.
Field Marshall Es!
- Haya niliyasema siku nyingi sana nenda kwenye thread za ile ishu, mkanishupalia sana hapa na uchunguzi wangu, sasa mnaona mwenyewe Zitto amekubali,
- Mkulu Ushiwarombo uko wapi maana wewe ndiye uliyekua mbishi sana kwamba ninatunga zile habari za kupatikana kwa text messages kuhusu computers kati ya yule kijana aliyeko jela na mbunge mmoja maarufu sana, sasa si uona haya ya leo yanajisema yenyewe! Aibuu!
Respect.
FMEs!
Where is Dr. slaa???
PIGA UA CHADEMA IS SLAA and ZITTO!!!!!!!!! QUOTE]
siku zote ccm wanachowashinda nacho wapinzani ni usemi wao ...."mwanachama hawezi kuwa maarufu kuliko chama"...ila ccm hao hao ndio hudanganya wapinzani wanaochipukia kuwa wao ndio chama...
waliotaka kujifanya maarufu kuliko chama ccm mmeona wamewafanyaje..."juzi jk kamuonya mwakyembe na wapambanaji kuwa wasitake kuwa maarufu kuliko chama""
na wanaotetea wapinzani kuhama kama suluhisho....mbona hamuoni ajabu watu kama NAPE ,SITTA na wenzao hawahami??? na wametendewa mambo makubwa kuliko hata yaliyotokea CHADEMA..Nadhani mwanasiasa mwaminifu anayependa chama chake hatakikimbia ila atapigania mabadiliko akiwa ndani........mbona jk hakukimbia 1995...,salim hakukimbia 2010...leo iweje mnamshawishi ZITTO amfuate KABOUROU.....kama frustration CCM mbona zimejaa...tusitake shotcut solutions kwa matatizo magumu!!
WATAENDA WAPI WAKATI CHAMA CHAKO HAKIJAJIWEKA SAWA KUPATA SURA YA KITAIFA?
MTU HUENDA SEHEMU ILIYO BORA ZAIDI SASA KUJA KWAKO AMBAKO HAKUNA KUFUATA KATIBA ZAIDI YA WAZEE WANNE.
NAPE KUPITIA VIKAO VYA CHAMA ALIRUDISHIWA HAKI YAKE,SEIF SHARIF HAMAD,JUMA DUNI,MREMA WALIONDOKA HIVYO ZITTO ANAWEZA KUONDOKA BILA TATIZO. USHAURI HUU HUU MBONA hukumpa MCHUKIA UFISADI ALIPOKUWA CUF NIKAWEKA MADA HAPA JUU YA MPANGO WAKE WA KUHAMIA CHADEMA,UNGEMWAMBIA KUWA NAPE NA SITTA HAWAKUHAMA CCM PAMOJA NA YALIYOWAKUTA.
mkuu umenena ...nimeona loophole mbaya sana ambayo inaweza kutumiwa na maadui wa zitto na maadui wa chadema ...ieleweke kuwa kila chama kina siri zake......na moja ya sifa ya kiongozi ni kuhifadhi...sasa siwaelewi watu wanaomshabikia zitto kuropoka wakati wanajuwa amejipotezea sifa ya kuaminika kuhifadhi mambo mazito..ukizingatia kati ya vijana wa umri wake ni front runner to presidency....sasa unafikiri watu wa usalama faili lake leo wataongezea comment gani....hasa ukizingatia uzito wa siri viongozi wanazobeba..
hapo nyuma nimewakumbusha kuwa pamoja na mrema kutofautiana na chama cha ccm ...hadi leo hajatoa siri hata moja zaidi ya viti ambavyo kila mtu alijuwa kama chavda..etc..hasa ukizingatia nafasi yake kama mkuu wa usalama ccm,mbunge ,waziri wa mambo ya ndani na naibu waziri mkuu..
nahisi kuwa tutakuwa na tatizo la kiusalama huko mbeleni...kama idara ya usalama haitachukua jukumu la kutoa mafunzo ya maadili na uongozi kwa vijana wote wanaopata nafasi kubwa au ubunge hata wa upinzani...nimesikitika sana ...maneno ya kuropoka angetoa mtu kama hiza au aina yake nisingesikitiaka ...lakini zitto ni kijana tunayemtegemea ..kwenye hii safari...!!!..lazima awe na maadili ya uongozi ...kubalini kataeni sifa ya muhimu tunayoangalia kwa kiongozi ni kutunza siri!!!
wanaomshabikia mbona hawajiulizi kusikia siri zaidi ya tetesi kuhusu ...sokoine,kolimba.,na wengine wengi...??????.. au ccm hawana midomo???
pole sana mzee kwanini hukumtuma kibanda akufanyie kazi kama mwanzo?hakuna siri aliyoitoa zitto kasema uozo uliopo.akausemee wapi na wazee wako wameshamfunga mdomo? Mama yake kamfuata slaa asuluhishe hadi leo slaa hajafanya kitu.mwache zitto amwage uoza hapa hapa jf. Pumzika mzee kipindi hiki.mkuu umenena ...nimeona loophole mbaya sana ambayo inaweza kutumiwa na maadui wa zitto na maadui wa chadema ...ieleweke kuwa kila chama kina siri zake......na moja ya sifa ya kiongozi ni kuhifadhi...sasa siwaelewi watu wanaomshabikia zitto kuropoka wakati wanajuwa amejipotezea sifa ya kuaminika kuhifadhi mambo mazito..ukizingatia kati ya vijana wa umri wake ni front runner to presidency....sasa unafikiri watu wa usalama faili lake leo wataongezea comment gani....hasa ukizingatia uzito wa siri viongozi wanazobeba..
hapo nyuma nimewakumbusha kuwa pamoja na mrema kutofautiana na chama cha ccm ...hadi leo hajatoa siri hata moja zaidi ya viti ambavyo kila mtu alijuwa kama chavda..etc..hasa ukizingatia nafasi yake kama mkuu wa usalama ccm,mbunge ,waziri wa mambo ya ndani na naibu waziri mkuu..
nahisi kuwa tutakuwa na tatizo la kiusalama huko mbeleni...kama idara ya usalama haitachukua jukumu la kutoa mafunzo ya maadili na uongozi kwa vijana wote wanaopata nafasi kubwa au ubunge hata wa upinzani...nimesikitika sana ...maneno ya kuropoka angetoa mtu kama hiza au aina yake nisingesikitiaka ...lakini zitto ni kijana tunayemtegemea ..kwenye hii safari...!!!..lazima awe na maadili ya uongozi ...kubalini kataeni sifa ya muhimu tunayoangalia kwa kiongozi ni kutunza siri!!!
wanaomshabikia mbona hawajiulizi kusikia siri zaidi ya tetesi kuhusu ...sokoine,kolimba.,na wengine wengi...??????.. Au ccm hawana midomo???
Mzee ES,
Mimi nadhani kosa alilolifanya Zitto humu ndani leo ni kubwa kuliko la yeye kunyimwa kugombea . Wazee ni kweli walifanya kosa kutokumruhusu , lakini hata hivyo kosa la ku-call out Chadema dirty laundry is below the belt . Regardless of what they did, he shouldn't have done what he did.
tena ni mkakamavu kwa kipindi sikutegemea kama atapata courage ya kuja hapa kuleta utumbo wake.- Mkulu PM, huyu Zitto alifikiaje kua naibu katibu mkuu wa Chadema? Unajua ninashindwa kuchambua sana post yako kwa sababu ya heshima yangu kwako, lakini naomba kukwambia kwamba the more you talk ku-justfy kumzuia Zitto ni more unaharibu sana mkuu.
- Ukweli ni kwamba kama CCM huko Chadema, sasa demokrasia imekufa rasmi na hii ishu.
Respect.
FMEs!
pole sana mzee kwanini hukumtuma kibanda akufanyie kazi kama mwanzo?hakuna siri aliyoitoa zitto kasema uozo uliopo.akausemee wapi na wazee wako wameshamfunga mdomo? Mama yake kamfuata slaa asuluhishe hadi leo slaa hajafanya kitu.mwache zitto amwage uoza hapa hapa jf. Pumzika mzee kipindi hiki.
Nakukumbusha maneno ya mbowe alisema vijana tusiwe waoga tuthubutu.zitto kathubutu.
WATAENDA WAPI WAKATI CHAMA CHAKO HAKIJAJIWEKA SAWA KUPATA SURA YA KITAIFA?
MTU HUENDA SEHEMU ILIYO BORA ZAIDI SASA KUJA KWAKO AMBAKO HAKUNA KUFUATA KATIBA ZAIDI YA WAZEE WANNE.
NAPE KUPITIA VIKAO VYA CHAMA ALIRUDISHIWA HAKI YAKE,SEIF SHARIF HAMAD,JUMA DUNI,MREMA WALIONDOKA HIVYO ZITTO ANAWEZA KUONDOKA BILA TATIZO. USHAURI HUU HUU MBONA hukumpa MCHUKIA UFISADI ALIPOKUWA CUF NIKAWEKA MADA HAPA JUU YA MPANGO WAKE WA KUHAMIA CHADEMA,UNGEMWAMBIA KUWA NAPE NA SITTA HAWAKUHAMA CCM PAMOJA NA YALIYOWAKUTA.
sivyo wana ccm wengi vigogo wanaogopa kuhama...kwani wengi hawapigani na ufisadi zaidi ya wivu.....!!! wakitokea wenye dhamira ya dhati watahama ...au pia inawezekana wenye dhamira wapo na hawana pa kwenda ..yote yawezekana!!
na watu kama kina kingunge huwatisha wakorofi kwa kuwaambia..""..alikuwa mrema na umaarufu wake tukamdhibiti...utakuwa wewe....""".. aah wakishasikia hivyo na wakiona mwenzao anavyopigwa juwa ... na hamad alivyowekwa ndani ...basi wanatulia!!!
mkuu FM nimekusoma .HESHIMA MKUU..lakini ume adress as if naweza ku influence lolote...mimi ni mwanaharakati tu kama wewe...traversger square yangu ni jf ....TU!
tena ni mkakamavu kwa kipindi sikutegemea kama atapata courage ya kuja hapa kuleta utumbo wake.
hata mimi namuheshimu sana huyu mheshimiwa.
sivyo wana ccm wengi vigogo wanaogopa kuhama...kwani wengi hawapigani na ufisadi zaidi ya wivu.....!!! wakitokea wenye dhamira ya dhati watahama ...au pia inawezekana wenye dhamira wapo na hawana pa kwenda ..yote yawezekana!!
na watu kama kina kingunge huwatisha wakorofi kwa kuwaambia..""..alikuwa mrema na umaarufu wake tukamdhibiti...utakuwa wewe....""".. aah wakishasikia hivyo na wakiona mwenzao anavyopigwa juwa ... na hamad alivyowekwa ndani ...basi wanatulia!!!
mkuu FM nimekusoma .HESHIMA MKUU..lakini ume adress as if naweza ku influence lolote...mimi ni mwanaharakati tu kama wewe...traversger square yangu ni jf ....TU!
- Mkuu PM bado nasimamia principle yangu kwamba ni better kuwa na Chadema kuliko kutokuwa nayo ndani ya taifa letu bongo,
- Sio nia yangu kuwaongezea machungu Chadema, maana nitakuwa ninawasaidia mafisadi wa CCM na huko ndani Chadema, kwa hiyo with all due respect naomba ku'bow put hapa.
Respect.
Field Marshall Es!
Zitto kishakula za mafisadi,anajiandaa kwenda CCM...hana lolote anatafuta kula tuu!