Kuelekea uchaguzi mkuu 2015

Kuelekea uchaguzi mkuu 2015

The Phylosopher

JF-Expert Member
Joined
Mar 11, 2015
Posts
2,204
Reaction score
3,327
nataka tujadili safari yetu kumpata raisi tumtakae kwa kurejea falsafa maarufu inayowagawa watu ktk makundi matatu 1 people with simple mind discuss people 2 people with avarage mind discuss events 3 people with great mind discuss ideas. TUNAMHITAJI RAIS.

Ila kuna maswali tujiulize

1.Tuna matatizo gani ya msingi kwa ujumla wetu?

2. Nini matazamio yetu kama taifa?

3. Kama taifa tuna uwezo wa kufka huko tunakotazamia kwenda?

4. Ni kwa namna gani tutafka? pengine kwa haya machache nazani ni nukta mhm sana tukaanzia hapo.

NAOMBA WANAJAMVI TUSAIDIANE KUAINISHA MAJIBU YA HAYO MASWALI jambo la pili ni kutafuta ni kujiulza swali la kujibu hzo hoja ampapo pia litakua na maswali yafuatayo 1 ni chama kipi ilani yake ina majbu sahihi? 2 ni chama kipi kinasimamia uwajbikaji bila ubabaishaji (chama ni mhim sana kwan mgombea endapo atachaguliwa atafanya kaz ndani ya mfumo wa chama) 3 ni mfumo upi wa uongozi unalifaa taifa na upo chama kipi?

NAKERWA SANA NA TABIA YA KUPIGA KURA KWA MAZOEA.

Pigia kura majibu ya changamoto.
 
hadi muda huu naandika CCM inatekeleza sera za chadema, hence nchi apewe mwenye sera sio vibaka wa sera, kiongozi anayefaa ni Slaa au Lipumba
 
Historia inampa Slaa nafasi kubwa, kisha kuwa mbunge mihula kadhaa, ameanzisha hoja ya mafisadi na kuokoa nchi kwa jitihada zaidi ya JD yake, ni mkweli na mwelewa wa mambo, ameongoza kamati za bunge etc
 
mkuu hapo uko sahihi kwan watanzania wengi wanapiga kura pasipo kuangalia kiongozi wanaemchagua anasifa gani
 
Back
Top Bottom