Kuelekea Uchaguzi Mkuu 2015, Soma Mithali 18:18

Kuelekea Uchaguzi Mkuu 2015, Soma Mithali 18:18

babatovu

JF-Expert Member
Joined
May 5, 2014
Posts
2,739
Reaction score
1,602
"Kura hukomesha mashindano, hukata maneno ya wakuu"

Kila baadaya ya miaka hamsini hutokea MABADILIKO ambayo kwa kawaida huwa hayazuiliki na atakaye jaribu kuyazuia basi hukumbwa na dhoruba.
MABADILIKO yanayoenda kutokea Tanzania siku chache zijazo ni mpango wa Mungu na wala si ya bahati mbaya.
Hakika Mungu amesikia kilio cha watanzania kwani wameishi utumwani kwa miaka mingi na sasa wanahamishiwa Kaanani.

Haijawai tokea kanisa kubwa kabisa duniani, kanisa katoliki kuruhusu waumini wake kufanya ibada siku ya jumamosi ili jumapili wakashiriki kufanya MABADILIKO kikamilifu.
Na sawa makanisa mengine makubwa ya kipentekosti nayo wiki hii yanaenda kufanya ibada siku ya jumamosi ili waumini wake wakafanye MABADILIKO siku ya jumapili.

Muacheni Mungu aitwe Mungu!
 
SIYO makanisa yote ya Katoliki yatasali siku ya Jumamosi! Nilikuwepo Kanisa katoliki la Kigoma jana na walitangaza kuwa Jumapili ni misa kama kawaida lakini itafanyika moja tu ya asubuhi badala ya mbili. Misa hiyo itafanyika asubuhi ili watu waweze kuwahi kupiga kura baada ya misa hiyo.
 
Acheni kushabikia dini. Tanzania ni ya wote. Huko Caanan mnakujua ninyi. Ndio maana mtakosa kura kwa udini wenu. Maandiko ya dini yaishie makanisani sio hapa. Hapa zungumzia wanasiasa nguli walisema nini.
 
Back
Top Bottom