Kuelekea Uchaguzi 2019/2020

Adabu na heshima inatakiwa kama hauna chakukoment matusi siyahitaji
Tell that to your chairman mr pombe magufuli. Kama kalamaganda kabugi a minister ni mpumbavu what does it make you?
 
Sela ndo nn?
 
Nyongeza kwa watumishi miaka 4 imewashinda eti iendele kuongoza
 
CCM bila msaada wa vyombo vya dola ni wepesi kuliko mfuko wa nailoni 😂😂😂
 
Shida ya CCM inaviongoz wapumbav sana,matatizo yote zaid ya miaka 54 imeyaleta yenyewe halaf inazunguka upande wa pl kujinasib eti inatatua matatizo ya wananchi,haijiuliz haya maisha mabov na yasiyo na maendeleo kwa wananch kayaleta nan,wanatumia ujinga wa wananch hasa waishio vjjn kuwarubun wakijua hawana uwezo wa kufikir zaid,niwaase viongoz wa upinzan towen elimu kwa wananch hasa wa vjjn juu maov ya ccm lkn shda yenu mmejikita mijn ambako kwa kias flan wanajitambua.kuhusu kuzuiliwa kufanya mikutano s muende mahakaman kama kwel kunakifungu kimevunjwa na maguful? lkn nako mko kimya n watu wa kulaum 2.
 
Kalamaganda ya nini?[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Tell that to your chairman mr pombe magufuli. Kama kalamaganda kabugi a minister ni mpumbavu what does it make you?
 
Hiyo picha ni kheri nikutane na kimba la binadamu inakuwa ahueni.
 
Huu nao ni upuuzi wa kiwango kikubwa sana. Sina haja ya kutoa maelezo ya ziada.
 
Hakuna kama CCM, kwasababu CCM ni Mama na Baba yetu.
Mtaji wa ccm ni ujinga wa watanzania. CCM ndiyo imtuletea umaskini tulio nao sasa. Miaka zaidi ya 50 tuko maskini kama tulivyo, lawama ziende kwa nani? Sera mbovu, ufsadi na rushwa, ndugu yangu tumlaumu nani? Napenda kukuhakikishia kuwa kama ccm itaendelea kutawala umaskini utazidi kupngezeka nchi hii. Dawa ni sera na mawazo mbadala.
 
Jifunze kwa waliokutangulia.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…