Mbona hueleweki wew umeuliza swali la digital then mwisho unatafuta tv ya analog kwan sasa hivi unatumia tv ya aina ipi??
Acha uvivu wa kuperuzi bana hebu fungua thread kuna mdau aliandika kuhusu ulushaji wa matangazo kwa njia ya digital na analog ukiisoma pomoja na coment za wadau utakuwa umepanda mwanga kidogo.