Hii lazma inihusuHatufanani na wao..Tuko tofauti na wao...Jipatie tiketi yako mapema..NguvuMojaView attachment 1044544
nani alikuwa underwear sorry underdogest sorry underdogger sorry underdog hapa hiki kienglish kigumu sana
Hata kwenye mechi ya mwezi uliopita tarehe 16 tuliandika heading ya kibabe lakini baada ya mechi kuisha sikuiona komenti kama hii kutoka kwa mashabiki wa vyuramechi na soura mliandika heading shoo ya kibabe... ghafla mkaingia mitini.. na huu uzi msije ukimbia tu
Tumeanza mda sana kubahatisha enzi zile tuwapige tano bila pale kwa mchinaMmebahatisha tu hamna uwezo wa kuifunga Vita
(watasikika walevi flani wakisema)
Simba nguvu moja
Mkuu oscarsolomon umefanya vema kumkumbusha, mechi ya JS, Nkana, Al Ahly zilizopigwa uwanja wa Taifa walikimbia jukwaa..This Is Simba.Hata kwenye mechi ya mwezi uliopita tarehe 16 tuliandika heading ya kibabe lakini baada ya mechi kuisha sikuiona komenti kama hii kutoka kwa mashabiki wa vyura
Sent using unknown device
Imani nyingine hizi ni kumjaribu Mungu na matumizi mabovu ya akili.
Kama Simba huwa haifungwi uwanja wa Taifa basi wangekuwa ndio mabingwa wa Sport pesa mwaka huu, msidhani Watanzania ni wajinga au wamesahau.
Sent using Jamii Forums mobile app
Danganyaneni tu maana nyie ni mambumbumbu wa kiwango cha juu. Msisahau jumamosi si mbali
Sent using Jamii Forums mobile app