Kuelekea Mechi ya Simba SC dhidi ya AS Vita Club, hatua ya Makundi Ligi ya Mabingwa Afrika 'Hatoki Mtu'

Kuna watu wanaweweseka hapa ubaoni..

Tunazungumzia Ligi ya Mabingwa Afrika kuwa hakuna timu imeshinda ugenini bali imeshinda nyumbani..wao wanatuletea habari za Mashujaa yaingia akilini jamani..!
 
JS SOURA POINT 8
AL HALY POINT 7
AS VITAL POINT 7
SIMBA POINT 6
kama ujaona basi una macho
 
Imani nyingine hizi ni kumjaribu Mungu na matumizi mabovu ya akili.

Kama Simba huwa haifungwi uwanja wa Taifa basi wangekuwa ndio mabingwa wa Sport pesa mwaka huu, msidhani Watanzania ni wajinga au wamesahau.

Sent using Jamii Forums mobile app
Sisi tuna imani iliyo thabiti tumemuombea adui yetu njaa na kweli imempata. Kama nyie mnaimani basi pangueni hiyo laana ya njaa na kuomba omba ambayo tumewapeni sisi

Matumizi mabovu ya akili ni pale bakuli fc kutarajia kumfunga simba mwenye kikosi kikubwa cha bilion 1.5

Sent using unknown device
 
Hivi kuna aliyeta Kombe la Maandazi kwenye Uzi huu hapa?

Yaani Klabu Bingwa Afrika tunajadili ambapo kutinga tu makundi timu inapata bilioni 1 na Simba ndo wawakilishi pekee Afrika Mashariki halafu unatuletea michuano ya Ukanda mmoja hiyo akili ama..!
Punguza bangi, Kenya inawakilishwa na Harambee stars Afcon na Uganda inawakilishwa na The cranes Afcon, Simba inawakilisha wana msimbazi, Simba siyo Taifa stars, timu ya Taifa imeshatangazwa na ina wachezaji watatu tu wa Simba

Mtanzania hawezi kuwakilishwa na Okwi, Kagere na Chama huu utakuwa ni utaahira, labda tu useme Simba inatekeleza ilani ya serikali ya awamu ya tano

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Vyura ushindi wao uko kwa Rage..kuna mmoja hapo anatia huruma asiee..!

Tunasema Simba katika michuano hii ya Ligi ya Mabingwa Afrika 2019 ina rekodi bora kwa kutumia vema uwanja wa Taifa, yeye anakutajia Mashujaa..!

Jamani pimeni wenyewe hapo ndo utagundua kwamba ukikaa sana bwawani siku ukija kuvuliwa unakuwa kama zezeta..
 
Mkuu Matola nakupa ushindi ili yaishe..Tunazungumzia Ligi ya Mabingwa Afrika kuwa 2019 Simba hajafungwa Taifa na lilivyo kundi D kila mmoja anashinda kwake halafu sasa naona unaanza kuzungumzia Taifa Stars.
Punguza bangi, Kenya inawakilishwa na Harambee stars Afcon na Uganda inawakilishwa na The cranes Afcon, Simba inawakilisha wana msimbazi, Simba siyo Taifa stars, timu ya Taifa imeshatangazwa na ina wachezaji watatu tu wa Simba

Mtanzania hawezi kuwakilishwa na Okwi, Kagere na Chama huu utakuwa ni utaahira, labda tu useme Simba inatekeleza ilani ya serikali ya awamu ya tano

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Hayo ndo maneno, na si poroja za akina Mashujaa...Kwa maana kama hatujajituma utakuwa uzembe wetu kwani kundi D kila mmoja anashinda kwake..umetisha mkuu
As vita wanafungwa,Simba wajitume kama Juve walivyofanya jana. Hakika watapata ushindi.
 
Hayo ndo maneno, na si poroja za akina Mashujaa...Kwa maana kama hatujajituma utakuwa uzembe wetu kwani kundi D kila mmoja anashinda kwake..umetisha mkuu
As vita na Soura ndo team pekee zilizotoa sare kwao. Soura alitoa sare kwao vs Al ahly. As Vita akatoa sare kwao vs Soura. Watajiju. Simba wajitume. Hakika watashinda. Juventus jana wamejituma hasa. Na ninaamini kila team inaomba isiangukie kwa Juve kwenye robo fainali.
 
Punguza bangi, Kenya inawakilishwa na Harambee stars Afcon na Uganda inawakilishwa na The cranes Afcon, Simba inawakilisha wana msimbazi, Simba siyo Taifa stars, timu ya Taifa imeshatangazwa na ina wachezaji watatu tu wa Simba

Mtanzania hawezi kuwakilishwa na Okwi, Kagere na Chama huu utakuwa ni utaahira, labda tu useme Simba inatekeleza ilani ya serikali ya awamu ya tano

Sent using Jamii Forums mobile app
Kwaiyo simba haiwakilishi tanzania kwasababu yuko okwi na kagere sio?

Basi tanzania haiwakilishi waafrika kwasababu kuna wazungu na wachina wapo wanaishi ndani yake

Sent using unknown device
 
Back
Top Bottom