Jamaa ww akili yako imeganda. Kama hujamuelewa mtoa hoja basi ww ubongo wako ni maiti.
Ulitaka amsifie Kwa lip I? A cha chuki mnamacho lakini mnajifanya kama hamuoni jk kafanya mengi tofauti kabisa nawatangulizi wake
Nitamkumbuka kama raisi pekee tz aliyempa ubunge mwanae. na ukuu wa wilaya marafiki za wanae.
kweli we ni zero!tena sifuri kamili,na hotuba aliyotoa jana?bado unathubutu kuongea unachoongea?acheni ushabiki wakati mwingine,haya wanae hajawapeleka nje,hapa walipo unadhani ni wajinga?c wanajua wanachokifanya?maisha yako na yao yanaendana??shiit!Wana Ukumbi,
Pamoja na mambo mengine ya rais Kikwete, lakini ningependa kueleza mambo ambayo sitasahau kuhusiana na rais Kikwete.
Ingawa mambo yapo mengi, lakini makubwa ni kama yafuatayo:
1. UZALENDO, kwa nafasi ambayo JK anayo kwa sasa. Ni yeye tu kuamua watoto wake waende kuishi nje ya Tanzania.
Lakini kamwe hakuwahi kufanya hivyo, watoto wake wote tunapigana nao vikumbo mabarabarani tu na wengine walisomeshwa shule za kawaida kabisa. Its amazing!
Kwenye baraza lake la mawaziri, karibu 90% ya mawaziri watoto wao wapo nje ya nchi yetu. Same applies kwa baadhi ya viongozi wa upinzani.
2. UHURU, katika awamu ya JK sio tu uhuru wa vyombo vya habari uliimarika, lakini hata uhuru wa mwananchi mmoja mmoja.
Katika awamu ya nne ndio utaweza kukuta kuna watu aina ya Dr Slaa. Otherwise, ingekuwa kipindi cha Nyerere basi zamani mtu kama Dr Slaa angepotezwa kimya kimya tu.
3. KATIBA MPYA, kwenye hili naamini Watanzania wenzangu mtaniunga mkono kuwa JK amethubutu.
Katiba mpya lilikuwa ni hitaji la muda mrefu sana, lakini tunamshukuru mhe rais kutuliza kiu yetu kwa kutupatia katiba. Kwenye hili tukio la kiistoria, jina lako litasimama milele.
Yangu mimi ni hayo ya kumkumbuka JK. Wewe je?
we si abunuas?nani atakuelewa?kwangu mimi Rais Kikwete ndo the best president since independent. sihitaji vyombo vya habari kunishawishi kwa hili. Lakini overall ccm wametuangusha sana tokea uhuru.mathalani, Kikwete anaingia madarakani amekuwa tanzania ikizalisha megawatt 750 za umeme, sasa hivi anatoka na anatarajiwa kutuachia megawatt 3000, mifano iko mingi karibia kila nyanja barabara before zilikuwa km 6000 tu lakini anaondoka akituongozea km zingine 11000, yaani mara mbili. huwa nawahsangaaga sana wanaomponda huyu jamaa. eliimu ya msingi, secondary na higher education. plenty.
Mnyonge mnyongeni haki yake mpeni... JK tutamkumbuka kwa uungwana wake! Pamoja na Mifumo mibovu iliyopo JK ametumia ukachero wake kuweza kupambana na wahafidhina wengi wa ndani na nje ya chama chake! Mpaka sasa hakuna hata mmoja mwenye uhakika atapata karata turufu ya JK... Uvumilivu na Subira ni vitu adimu sana kwa viongozi shupavu duniani...JK = Putin wa Africa .... sasa tunaona jinsi ambavyo TISS inaimarika chini ya JK!!! Bravo Rais wangu ...
Kumkubali kwako kikwete ni mambo yako binafsi,ila umejenga hoja dhaifu sana kujustfy hoja yako,jenga hoja ya vitu exceptional kwa kikwete sio barabara,mara umeme sijui nin ambavyo rais yeyote ambae angekua katika awamu yake angevifanya,kuna vitu ambavyo ni general kwa kiogozi yeyote kufanya,hvyo huhitaji kumsifia kwa hilo.
Nchi yenye kilometa 945,087 za mraba alafu lami ni km 11000 tu ,alafu unasifia what nonsense is this, ebu kokotoa hapo ujue ni maeneo mangapi hayana Lami na siyo kusifia eti. 945087-11000 means 934087 hamna Lami alafu mtu unaanzisha thread kusifia ujinga. Ungeanzisha Uzi kumsifia kwa kuwa rais alietembelea nchi nyingne duniani hadi kupokelewa na Naibu waziri dah what shameful is that.
- Mwaka 2005 nilikuwa ninanunua unga wa sembe kilo moja kwa shilingi 200 sasa hivi ninanunua kwa sh 1200
- Mwaka 2005 thamani ya shilingi kwa ulinganifu na dola ya Marekani, dola moja nilikuwa ninanunua kwa shilingi 800 sasa dola hiyo hiyo ninanunuwa kwa sh. 1630
- Deni la taifa ndiyo balaa, amezunguka dunia yote akiomba, lakini ameshindwa kabisa kutafuta soko la korosho, kila mwaka bei anayolipwa mkulima inapungua.
- Kilio kimetawala mapori yote, tembo jamani wanalia, hukumu ya kifo iliyopitishwa mwaka 2005 hadi 2015 kwa tembo kuuawa imeshatekelezwa kwa asilimia 75 (%)
- Tunashukuru kwa furusa na uwazi mkubwa wa kuuza madawa ya kulevia, watangulizi wake wote walishindwa, lakini tangu mwaka 2005 mambo yameboreka kuliko maelezo.
alikuwa toilet na fegi mdomoni!JK=Putin wa Africa!
TISS inaimarika!
Mkuu umeandika haya ukiwa unakunya au?
Nitamkumbuka kama raisi pekee tz aliyempa ubunge mwanae. na ukuu wa wilaya marafiki za wanae.
Nchi yenye kilometa 945,087 za mraba alafu lami ni km 11000 tu ,alafu unasifia what nonsense is this, ebu kokotoa hapo ujue ni maeneo mangapi hayana Lami na siyo kusifia eti. 945087-11000 means 934087 hamna Lami alafu mtu unaanzisha thread kusifia ujinga. Ungeanzisha Uzi kumsifia kwa kuwa rais alietembelea nchi nyingne duniani hadi kupokelewa na Naibu waziri dah what shameful is that.