Kuelekea kufunga mwaka, Ni yupi mrembo wa JF 2017.?!

Zikiwa zimebaki siku chache kuufanya mwaka 2017 ubaki story.
Leo napenda kuwakaribisha hapa kumtafuta mrembo wa JF wa mwaka huu.
Tunajua wapo wengi ila wanazidiana.
Hapa tunataka kumpata aliye zaidi ya wengine.

Mimi naweka hawa watano tuwapigie kura ila unaweza pia kuongezea kwenye List yule unayeona Anafaa.

Shunie

Demiss

Sakayo

Inna

emmyta.

Ongezea wakwako halafu tupige kura.

Karibuni.
bila joanah hii competition ni void
 
Back
Top Bottom