Koh koh koh.
Nipo sina tabu mieeee. Leo ukitaka hata Updates nitakupatia mΓ ana nina jenereta hapa umeme ukikata nawasha. ππππ
Jamaaani. ππππ
Uuuwiii. Wa kwanza huyu.
ππππ nasubiri wengine. πππ ila umejua kunivunja mbavu aiseee.
Nazima mnara wa networkNipo sina tabu mieeee. Leo ukitaka hata Updates nitakupatia mΓ ana nina jenereta hapa umeme ukikata nawasha.
Mtani naona homa ya pambano inakusahaulisha.Mie nilishawahiwa bana na unalijua hilo.
Ama kweli Waarabu si watu wazuri.
Hahaaaa. Hatimaye kaja bana.Umeitwa weeee, naona sasa umejitokeza
Mmh.
Koh koh koh.
NAOMBENI MAJI JAMANI.
Ngoja ninywe Mtoto.
Kisimba zaiditwende waarabu twende Al Ahlyyyyy, piga haaoooooooooo.
Wachaaaaa. Najikuta nafurahi tu leo.Umeme umekatika hapa, na simu inaonesha usage time ni 2 hours and 49 minutes.
Labda hivyoo. πππ
Pole sana Mtani.Homa ya tumbo yani limevurugika sio mchezo
TupoHivi watani zangu kina Sapta Sapta, Shunie , King Ngwaba , Mtoto halali na hela, 100 Likes Tui, Sesten Zakazaka , Proved, Van pebles , brave one, OKW BOBAN SUNZU , chaliifrancisco ,toxic9, Simara huu uzi hamujauona.
Acheni hizo banaaa.