Kuelekea hatua Makundi Ligi ya Mabingwa Afrika, Simba SC dhidi ya Al Ahly SC 'Hatushindwi'


brave one

brave one

JF-Expert Member
Joined
Feb 5, 2013
Messages
4,189
Likes
5,093
Points
280
brave one

brave one

JF-Expert Member
Joined Feb 5, 2013
4,189 5,093 280
Mechi ya Leo Haina presha kabisha Al Ahly watakuwa wanapoozesha mchezo wakitafuta droo Huku wakivizia kupigana counter attack
Mechi rahisi kabisha hii kwa Simba Mimi ntaicheki Huku nashushia na crips taratibuuuu Huku Chama, kagere na Okwi wakitoa burudani

Sent using Jamii Forums mobile app
 
100 Likes

100 Likes

JF-Expert Member
Joined
Nov 5, 2018
Messages
1,184
Likes
2,067
Points
280
100 Likes

100 Likes

JF-Expert Member
Joined Nov 5, 2018
1,184 2,067 280
Uuuwiii. Wa kwanza huyu.

πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚ nasubiri wengine. πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚ ila umejua kunivunja mbavu aiseee.
Umeme umekatika hapa, na simu inaonesha usage time ni 2 hours and 49 minutes.
 
Mtoto halali na hela

Mtoto halali na hela

JF-Expert Member
Joined
Aug 10, 2012
Messages
23,709
Likes
6,963
Points
280
Mtoto halali na hela

Mtoto halali na hela

JF-Expert Member
Joined Aug 10, 2012
23,709 6,963 280
Hivi watani zangu kina Sapta Sapta, Shunie , King Ngwaba , Mtoto halali na hela, 100 Likes Tui, Sesten Zakazaka , Proved, Van pebles , brave one, OKW BOBAN SUNZU , chaliifrancisco ,toxic9, Simara huu uzi hamujauona.

Acheni hizo banaaa.
Tupo

Sent using Jamii Forums mobile app
 

Forum statistics

Threads 1,262,489
Members 485,588
Posts 30,123,691