Kuelekea D9: Baada ya mafisadi kuja na Udini, Gen Z sasa wamekuja na dini mpya ya krislam

Kuelekea D9: Baada ya mafisadi kuja na Udini, Gen Z sasa wamekuja na dini mpya ya krislam

Gen Z hawana udini, hiko nimekiona, kwanza wana urafiki pasipo udini wala kabila, hawa wazee wa zilipendwa waliweza kugombanishwa kirahisi kwa udini, lakini gen z, nakataa, hapa serikali imefeli.
Huwezi kupandikiza chuki za udini kwenye kizazi cha sasa, hawa watoto wanajua mambo mengi sana kutuzidi, sio wajinga.

Mtu anayewaendea na propaganda za udini ataishia kuonekana mpumbavu tu!
 
Mimi nimezaliwa na waislam hakuna nasaba ya ukristo kwenye ubin wangu kwa kizazi cha tano me na ke

Lakini laana zangu zikanifanya nilelewe kwenye mikono ya wagalatia na niiijua hilo Baada ya kuishi na wakristo

Na sikuwahi kuwashutumu kwa hilo na ninawaelewa kwenye ujana wangu japo mambo ya imani yapo mbali na mimi kwa wakati huu

Means kwamba udini sio turufu wakati huu sisi ni WATANZANIA hatunaga baya kwa wasio na baya

Ila ukivuka mstari means u stare the abyss and when it start to look at either your in big trouble
 
Back
Top Bottom