Seif al Islam
JF-Expert Member
- Nov 14, 2011
- 2,156
- 640
Toka nizaliwe sijawahi kuona CCM wamemtimua mtu!
We unafikiri itakuwaje akitimuliwa kutoka CCM, si atkimbilia NCCR Mageuzi?. Wee humjui Nape kuwa ni mtoto wa mwanasiasa?
katika kile kinachoelezwa kuwa mkakati maalumu wa kumuandalia mgombea mmoja wa uraisi njia ya kupitishwa na ccm kugombea urais 2015,katibu wa ccm itikadi na nuenezi nape nnauye anatajwa kuwa mmoja wa viongozi wa ccm watakaotimuliwa katika uongozi na hata ikiwezekana kutimuliwa uanachama kabisa.hii inadaiwa ni kutokana na bwana nape kutoelewana na kambi ya mgombea huyo anayedaiwa kuwa na nguvu za ushawishi achilia mbali pesa anazotajwa kuwa nazo nje na ndani ya nchi.take it from me.

Amuulize mzee mashishanga aliyekuwa mkuu wa mkoa wa morogoro kilichompata kisiasa. Tatizo la nape hafanyi critical analysis, ana amini kabisa mtu fulani hawezi kushika rungu kesho likamgeukia. Nakubaliana na mleta uzi, mwisho wa nape kisiasa si mzuri labda afikirie kuhama ccm, otherwise atakuwa kituko!
katika kile kinachoelezwa kuwa mkakati maalumu wa kumuandalia mgombea mmoja wa uraisi njia ya kupitishwa na ccm kugombea urais 2015,katibu wa ccm itikadi na nuenezi nape nnauye anatajwa kuwa mmoja wa viongozi wa ccm watakaotimuliwa katika uongozi na hata ikiwezekana kutimuliwa uanachama kabisa.hii inadaiwa ni kutokana na bwana nape kutoelewana na kambi ya mgombea huyo anayedaiwa kuwa na nguvu za ushawishi achilia mbali pesa anazotajwa kuwa nazo nje na ndani ya nchi.take it from me.
Inaelekea hampati usingizi mkisikia jina la Nape nyinyi wadogo Zake Lema.