Huyo mwanamke hana akili jamani.Yani mapungufu ya mumewe kwanini wasivumiliane na watafute solution?Mbaya zaidi mashost nao sio mashost maana wamwishaanza kumsaliti.Ndio maana mie sipendi ushost kabisaa na sitaki mashost
maishani mwangu
Hii stori inachekesha kweli. Kwani huyo kidume ameshindwa nini kuji-evaluate perfomance yake kisha atazame kama anachoambiwa kuwa kimesemwa na mkewe kuhusu yeye kina uhalisia?
Pole kama imekugusa, hata mimi nilijisikia vibaya sana lakini pia sio wanawake wote wako hivi
Nimehisi hivyo pia, ila nimechangia makusudi maana juzi nilikuta kitim tim saluni moja, wanawake wanachambana, siri zinamwagika, umbea kama kazi. Tulibaki kutazama tu. Yes! Ni story, lakini haya mambo yapo.
^^
Huyo mwanamke hana akili jamani.Yani mapungufu ya mumewe kwanini wasivumiliane na watafute solution?Mbaya zaidi mashost nao sio mashost maana wamwishaanza kumsaliti.Ndio maana mie sipendi ushost kabisaa na sitaki mashost maishani mwangu
hahaha kwa hiyo huna rafiki hata mmoja
Wakina Tomaso tupo wengi
Mkuu... kuna watu kwa aina ya maisha waliyopitia kuna mambo wanadhani ni stori tu...Nimehisi hivyo pia, ila nimechangia makusudi maana juzi nilikuta kitim tim saluni moja, wanawake wanachambana, siri zinamwagika, umbea kama kazi. Tulibaki kutazama tu. Yes! Ni story, lakini haya mambo yapo.
^^
Huyo mwanamke lazima atakuwa anaishi uswahilini tena hana shughuli ya kufanya zaidi ya kukaa vijiweni na kupiga stories.