Kudate mfanyakazi mwenzako

Michael Ngusa

JF-Expert Member
Joined
Aug 4, 2014
Posts
1,637
Reaction score
463
Hivi unajiskiaje pale bosi anapomfokea gf/bf wako kazini? mko kampuni moja tuseme
 
Ndo maana sipendi hayo mambo, wala sikupenda wakati nasoma mara uchapwe au kiboyfriend kichapwe nakiona aah aibu tu awe mbali ili niwe huru
 
Kuna jamaa wametumiana sana enzi zetu ila kila mmoja anamwona mwenzie mdoli...mapenzi ya shule/kazini yana consequency zake
 
Namwasha vibao boss, naondoka nae, naazisha kampuni yangu nimpa wife cheo cha u-Director of Finance. Hapo vipi?
 
Matamu sana. Raha yake hamna strings attached, hamna kupendana bali kuchangamsha vikojoleo when the need arises. Try at your own risk.
 
na kwanini mfokeane kwani hamuwezi kuelekezana!!!
 
Ndo maana sipendi hayo mambo, wala sikupenda wakati nasoma mara uchapwe au kiboyfriend kichapwe nakiona aah aibu tu awe mbali ili niwe huru

hahahaha...basi kuna jamaa hapa ofisini boss alikua anamtokea demu wake....eti jamaa akaanza bifu na boss.....haikupita mwezi jamaa akaamishiwa Sumbawanga, demu kabaki ofisini na boss pamoja na sisi wengine tunajilia tu. Dah.Kuwa bos raha jamani.
 
Mmmh huyo boss ni eeeh!!????
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…