Kudadeki Sebene!

Gagurito

JF-Expert Member
Feb 11, 2011
5,600
804
hili sebene linalopigwa kwenye bar ya jiran na maeneo ninapoishi linaniboa. Linampa wazimu my girlfriend kila ajapo gheto, imefikia hatua hatujadili mambo yetu wala kufanya mambo mengine ya faragha pindi lipigwapo. Yan anapenda kulicheza kupita kiasi then ananiboa sana! Hapa sijui nifanyeje na siwezi kuhama mtaa kwa sasa coz nshalipa ankara ya mwaka mzima tayari, kweli huyu mwanamke ananichanganya akili!
 
bt sebene lisipo sikika maelewano hua ni 100%, ofcoz kuna tatizo thats why nimeleta kwenu lijadiliwe! Nifanyeje? Lets exchange thoughts, wawezakuta mwenzangu yashakukuta makubwa ama magumu zaidi..
 
Mkubwa Baba Enock sio swala la ceiling board, sauti inapenya dirishan, then kumbuka kuzuia sauti ni kazi ya ziada!
 
Kwavile sebene ndo ugonjwa wake, hata kama nyumba ina ceiling board basi atazima tv au radio na atafungua dirisha ili alisikie hilo sebene!

Ushauri: Jitahidi ujue aina ya sebene alipendalo then, muwekee ndani ya nyumba! atatulia na Majambozi yatakuwa byee!
 
sio tafsida hapo, ukweli anapenda sebene km sebene! Nishamwangalia sana kiasi imefikia hatua ananiboa!
 
mkuu domh6e, hayo nishajaribu, anasema anapenda lisikilizia toka mbali. Wawezadhani nistori bt huu ndio ukweli wa mambo! Kiukweli simwelewi huyu binti, nampenda bt tabia yake hii km penzi wake inaniboa sana!
 
Mkuu,

Think twice but, we are leaving things in your hands!

Huo nao ni ugonjwa na kama hauna dawa basi, uamuzi wa mwisho ni wake (mume na sebene nani zaidi?)
 
Jitutumue uweke madirisha ya vioo na AC ili asisikie vya nje au?
 
kwenye nyumba ya kupanga kaka, c unajua ndio twaanza maisha wengine!
 
gagurito, kwani mzee ameshaanza kusimama dede? ulipata dawa? mi nilidhani saa hizi utakuwa umeshaachwa ili nilete application maana na prefer wasiosimama dede.
 
hili sebene linalopigwa kwenye bar ya jiran na maeneo ninapoishi linaniboa. Linampa wazimu my girlfriend kila ajapo gheto, imefikia hatua hatujadili mambo yetu wala kufanya mambo mengine ya faragha pindi lipigwapo. Yan anapenda kulicheza kupita kiasi then ananiboa sana! Hapa sijui nifanyeje na siwezi kuhama mtaa kwa sasa coz nshalipa ankara ya mwaka mzima tayari, kweli huyu mwanamke ananichanganya akili!

isije ikawa huyo girl friend wako ni mcheza show wa hiyo bendi wewe hujui, ohoooo......
 
Duh! Leo SEBENE linapigwa kinyama, hapa fikra zangu zote kwa Girlfriend wangu aliyeko safarini Arusha! Kweli yule mwanamke anapenda sebene!
 
Hilo sebene unaweza ukalitumia kama appetizer na mwishowe game likawa tamu ajabu, mbona huwi mbunifu kamanda! usipende kuangalia negative tuu kama anacheza inuka na wewe cheza naye msike kiuno mengine mtajua wenyewe bana agrrrrrrrrrrrrrrr
 
mi nakushauri kwa 7bu huwezi kuhama mtaa, huwezi kumzuia baby aicheze sebene, na pia huwezi kufanya baa la watu wabadilishe aina ya miondoko mfn Hiphop, bluz, au bongo fleva, muwe mnakutana mbali siku unataka yale mambo ya faragha au issue zingine za muhimu.
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom