Makusudically
JF-Expert Member
- Feb 3, 2014
- 2,203
- 1,235
Nimekuwa nikifuatilia Siasa za Tanzania kwa karibu sana, ilichokiona ni wimbi kubwa La mtindo wa viongozi wa juu kupokea na kushangilia sana kuwachukua wanasiasa wanaoachwa na chama kimojawapo , na kuwapatia vyeo haraka haraka kama rushwa ya kuwafanya wawe vipofu wasione mbele. He hali hii ni kukuza Demokrasia?