Kuchora tattoo

mandwa

JF-Expert Member
Joined
Aug 13, 2013
Posts
1,506
Reaction score
376
Wapi nitapata huduma ya kuchora tatoo hapa DSM nataka nijichore mwenye kujua sehemu yenye huduma nzuri na kuzingatia usafi

Sent from my BlackBerry 8520 using JamiiForums
 
Ingia mtaa wa samora shusha nao mpaka pale tra, ukifika tra nenda mbele kidogo kama unaenda mnara wa askari, huo mtaa unaochepuka kwenda benki ya wanawake hapo hapo kwenye kona utawaona jamaa
 
Ingia mtaa wa samora shusha nao mpaka pale tra, ukifika tra nenda mbele kidogo kama unaenda mnara wa askari, huo mtaa unaochepuka kwenda benki ya wanawake hapo hapo kwenye kona utawaona jamaa

mkuu haumfaham anaechora ukanipa mawasiliano yake
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…