Mbaliche JF-Expert Member Joined Jul 6, 2011 Posts 294 Reaction score 62 Jan 20, 2015 #21 kwa mil 4.5 nakukamilishia Kisima pamoja na pamp 1.5hp
Shark JF-Expert Member Joined Jan 25, 2010 Posts 29,932 Reaction score 30,045 Apr 3, 2016 #22 zebanga watelanga said: kuku dume nachimba pamoja na water pump mita 60 kwa kila mita 65,000 ila nitafute tuweze zungunza zaidi mkuu 0712690760 Click to expand... Haipungui?? Nataka ukanifanyie kazi pale Mkuranga Mjini, uba uzoefu nako??
zebanga watelanga said: kuku dume nachimba pamoja na water pump mita 60 kwa kila mita 65,000 ila nitafute tuweze zungunza zaidi mkuu 0712690760 Click to expand... Haipungui?? Nataka ukanifanyie kazi pale Mkuranga Mjini, uba uzoefu nako??
Wustenfuchs JF-Expert Member Joined Dec 31, 2012 Posts 313 Reaction score 170 Jan 18, 2017 #23 godizila said: Lliouplpii8illliipplpikpiliipoiipi Click to expand... kabasele said: laki 8!! Click to expand... Umeambiwa 60k per mita, hapo piga hesabu kulingana na kisima chako kitakuwa na mita ngapi na hii itategemea maji yanapatikana katika kina gani.
godizila said: Lliouplpii8illliipplpikpiliipoiipi Click to expand... kabasele said: laki 8!! Click to expand... Umeambiwa 60k per mita, hapo piga hesabu kulingana na kisima chako kitakuwa na mita ngapi na hii itategemea maji yanapatikana katika kina gani.
Ngigana JF-Expert Member Joined Apr 16, 2010 Posts 2,108 Reaction score 1,449 Jan 18, 2017 #24 zebanga watelanga said: kuku dume nachimba pamoja na water pump mita 60 kwa kila mita 65,000 ila nitafute tuweze zungunza zaidi mkuu 0712690760 Click to expand... Mkuu hiyo ni kwa wale walioko jiji la Makonda. je walio nje ya jiji la Makonda gharama ni kiasi gani?
zebanga watelanga said: kuku dume nachimba pamoja na water pump mita 60 kwa kila mita 65,000 ila nitafute tuweze zungunza zaidi mkuu 0712690760 Click to expand... Mkuu hiyo ni kwa wale walioko jiji la Makonda. je walio nje ya jiji la Makonda gharama ni kiasi gani?
K kuchelentwara Member Joined Jan 11, 2017 Posts 22 Reaction score 5 Jan 21, 2017 #25 Kibada sehemu gani?
K kuchelentwara Member Joined Jan 11, 2017 Posts 22 Reaction score 5 Jan 21, 2017 #26 Mm nachimba visima. Piga 0789101154.0769851338.WhatsApp 0717984200
Shark JF-Expert Member Joined Jan 25, 2010 Posts 29,932 Reaction score 30,045 Jan 21, 2017 #27 kuchelentwara said: Mm nachimba visima. Piga 0789101154.0769851338.WhatsApp 0717984200 Click to expand... Hauchimbi wewe, Inachimba mashine
kuchelentwara said: Mm nachimba visima. Piga 0789101154.0769851338.WhatsApp 0717984200 Click to expand... Hauchimbi wewe, Inachimba mashine
Twilumba Platinum Member Joined Dec 5, 2010 Posts 13,476 Reaction score 16,182 Jan 21, 2017 #28 TAMKO said: Ni pm contact please Click to expand... Kwa nini usimjibu hapa kwa faida ya wengine, au unataka kumtapeli?
TAMKO said: Ni pm contact please Click to expand... Kwa nini usimjibu hapa kwa faida ya wengine, au unataka kumtapeli?
Twilumba Platinum Member Joined Dec 5, 2010 Posts 13,476 Reaction score 16,182 Jan 21, 2017 #29 kuchelentwara said: Mm nachimba visima. Piga 0789101154.0769851338.WhatsApp 0717984200 Click to expand... Unachimba Tsh Ngapi, mita ngapi?
kuchelentwara said: Mm nachimba visima. Piga 0789101154.0769851338.WhatsApp 0717984200 Click to expand... Unachimba Tsh Ngapi, mita ngapi?
K kuchelentwara Member Joined Jan 11, 2017 Posts 22 Reaction score 5 Jan 21, 2017 #30 Mbona unadai una mtoto wakati huzai?
K kuchelentwara Member Joined Jan 11, 2017 Posts 22 Reaction score 5 Jan 21, 2017 #31 Kwa kibada tsh.50,000/=kuchimba tu bila pump
Menapitatu Senior Member Joined May 12, 2013 Posts 195 Reaction score 86 Jan 21, 2017 #32 Kwanza kabla ya kuchimba lazima uwe na drilling permit na baada ya kuchimba inakupasa uwe na water use permit hizi zote zinatolewa na ofisi said maji bonde LA wami ruvu ilioko chini ya wizara ya maji yangu ni hayo tu
Kwanza kabla ya kuchimba lazima uwe na drilling permit na baada ya kuchimba inakupasa uwe na water use permit hizi zote zinatolewa na ofisi said maji bonde LA wami ruvu ilioko chini ya wizara ya maji yangu ni hayo tu
S Sir-mganah Member Joined Jul 17, 2011 Posts 58 Reaction score 11 Jan 27, 2017 #33 kuchelentwara said: Mm nachimba visima. Piga 0789101154.0769851338.WhatsApp 0717984200 Click to expand... Mimi Niko pangani nataka Kisima chenye uwezo wa kumwagilia bustani ya heka 40 utanifanyia bei gani? Shark said: Hauchimbi wewe, Inachimba mashine Click to expand...
kuchelentwara said: Mm nachimba visima. Piga 0789101154.0769851338.WhatsApp 0717984200 Click to expand... Mimi Niko pangani nataka Kisima chenye uwezo wa kumwagilia bustani ya heka 40 utanifanyia bei gani? Shark said: Hauchimbi wewe, Inachimba mashine Click to expand...