Kuchi.

Hii mbegu jijin dar na pwan yake Kwa ujumla inapotea Sana
Zaman walikua wanapatikana Sana maeneo ya vijibwwn na maji mwema lakin now dayz hakun
 
Safi sana!... hata majogoo wamepanda juu kama ma miss!....
 
Ni mbegu nzuri.. Ila wamekonda hawa, hawana nyama!
 
Hawa siyo yule jamaa anayeishi Banana kweli?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…