Mayai Tsh 10,000/= kwa tray au? Na hao wa wiki mbili Tsh 15,000/= kwa kifaranga kimoja au?Kwa wale wahitaji wa kuku aina ya kuchi original,midomo ya kasuku wanauzwa,tunachukua order kwa wale wa mikoani pia.tuwasiliane 0713246244.Tsh 15,000/- wa wiki mbili.mayai Tsh 10,000/-.karibu wadau
Ukiona hivyo ogopa, jua ni utaperi tu, haiwezekani biashara halali uanze tena kuzungusha watu nyuma ya duka.Hivi hiii tabia ya kutangaza biashara halfu vitu vingine hamjibu mnapelekana chemba sijui PM ni hapa tuuu au hâta kwa wadhungu
Lengo ni ili kila mtu apigwe kimyakimya.Muwe mnasoma jinsi gani ya kuweka tangazo la biashara nadhani imeelezewa vizuri humu ndani sio poa kila kitu unasema njoo PM
Kama tunaitana pm kwa kila swali ni vema hata tangazo lako ungetangazia pm mkuu!Kwa wale wahitaji wa kuku aina ya kuchi original,midomo ya kasuku wanauzwa,tunachukua order kwa wale wa mikoani pia.tuwasiliane 0713246244.Tsh 15,000/- wa wiki mbili.mayai Tsh 10,000/-.karibu wadau
Mi nahitaji sana hao kuku,ila nina wasiwasi na malezi ya vifaranga kwa umri huo wanaweza kujitegemea?ambae yupo serious please tuwasiliane,0713246244, for more details.
Anatakiwa kujibu peupe siyo vichochoroni hahaha.Kama tunaitana pm kwa kila swali ni vema hata tangazo lako ungetangazia pm mkuu!
Exactly! Kuitana chumbani suala km hili sio poa,otherwise angechagua wa kuwauzia akawafuata pmAnatakiwa kujibu peupe siyo vichochoroni hahaha.
MUONGOZO: Zingatia haya unapoweka tangazo lako!karibuni kwa maswali yeyote!