Kuchezewa Mume Wangu Sipendi!!!!

Status
Not open for further replies.
Kwa nini mume atoke nje ya ndoa? Ukishamgundua hajatulia jaribu kuongeza siku za ku-do kwa wiki, kama zilikuwa 2 au 3, basi fanya 4 au 5. Hakikisha wewe ndo unakuwa mchokozi, akitia mguu home, hakikisha unakuwa nae karibu muda wote ili asipate muda wa kufikiria wengine.
 
Baada ya watu kupigwa za uso kwenye thread iliyopita....
Leo adabu kama shule ya msingi vile...
 
OUT OF TOPIC. Jamani Dina marious kafunguka live kwamba REuben ndege ndiye baba wa mtoto wake mtarajiwa,na amewatahadharisha wale wadada wanaomtokea macho hubby wake huyo kwamba wawaache miaka alfu Lela ulela, na mwakani wanafunga ndoa yao takatifu. Nimefurah sana xz nilikuwa napenda sn hii couple.
 
mume wa mtu sumu ohoooo tena kumbuka za mwizi 40 tu we kama ni mzuri kwanini usitafute wako peke yako hivi pamoja na masters yako kazi hutaki kufanya kazi kung'ang'ania waume za watu tu

ngoja majanga yakufike utakumbuka ushauri wangu ingawa me ni mdogo kwako lakini naona mbali zaidi yako
chamba utakavyo but mesej sent
 
Mwanaume muhuni hata umpe tundu ya pua atauza mechi tu...




Back to lara 1

Yaani hapa hamna kudeal na mume wala nini, unadili na mume na huyo kichencheda.........mume sio shati yakhe kusema kila mtu analo
 
Last edited by a moderator:

Wakati wadada wanamtolea macho huyo ndege anawatolea nini???
 
weeeeeeeeee! shukuru naandikia touch! jeuri ya mtu kunitisha humu hamnaaaaaaa! ukitka nibeep nikupigie!

ETI ADABU!!! KWA MTONYO GANI? OVYOOOOOOO!

Ulielewa nilichoandika? Naomba urudie kusoma tena post yangu,...
Nahisi kama hukunielewa...na nimeshakusamehe bure.
 
lara 1, are you you?

for sure umekutana na lara 0. ngoma droo! na ujanja wooote, bado akakutia biti mutoto ya mujini na ukatulia ka juisi ya azam kwenye box! teh!

next time uwe mwangalifu kweli! take care before care take you!
 
Last edited by a moderator:
Mwanaume muhuni hata umpe tundu ya pua atauza mechi tu...

Back to lara 1

Yaani hapa hamna kudeal na mume wala nini, unadili na mume na huyo kichencheda.........mume sio shati yakhe kusema kila mtu analo

Sawa ila LAKI SIRUDISHIII!!!!!!!!! Ndo kiendacho kwa mganga hakirdi hivooo!
 
weeeeeeeeee! shukuru naandikia touch! jeuri ya mtu kunitisha humu hamnaaaaaaa! ukitka nibeep nikupigie!

ETI ADABU!!! KWA MTONYO GANI? OVYOOOOOOO!

naomba nipate mpambano LIVE na wewe lara 1!

haiwezekani ututishe jiji zima la MMU!

alaaah! kama lara 0 kakutia mkwara, unafikiri sisi tutakufanyaje?

pesa zenyewe laki, unaongea hivyo,

haya chukua na hizi!!



hahahaaaa!!!
 
Ulielewa nilichoandika? Naomba urudie kusoma tena post yangu,...
Nahisi kama hukunielewa...na nimeshakusamehe bure.

Hahahaaaaaaa! Sikuelewa bwana nilikurupuka nikajua umenibeep! Wale wachumba walionisumbua siku ile wote nishawaoza Dubai wametulia na wanaume zao.
 
Hahahaaaaaaa! Sikuelewa bwana nilikurupuka nikajua umenibeep! Wale wachumba walionisumbua siku ile wote nishawaoza Dubai wametulia na wanaume zao.

Poa,haya naomba ufute post yako uliyonitukana.
 

Atupisheee kule! UCHUMBA WA MIAKA 10 na USHEEE! Kabeba mimba KUFOSI NDOA baada ya kuona ANAZEEKA na Rube kamchunia chuu ANAMCHUNA TU!!!!!!! Ndoa hamna paleeeeeeeee!!!!!!!!!!!

Rube anamtendea VISA yule dada wewe, ungejua ungemhurumia ila BADO YUMO! YAACHE TU!

Nitasutwa na Mashujaa Band mie!
 

Una hamu nikuchambeeee! Nikikuchamba utazimiaaa! Kazi zenyewe hazieleweki! Kazi tembo mshahara sisimizi.
 
Una hamu nikuchambeeee! Nikikuchamba utazimiaaa! Kazi zenyewe hazieleweki! Kazi tembo mshahara sisimizi.

chamba utakavyo lakini ujue unajiabisha mwenyewe tushakuchoka na hao waume unaowaiba mwanamke tafuta wako akutunze khaaaaaaaaaaaaa huna hata haya kila siku kujisifia maujinga grow up bidada
 
Status
Not open for further replies.

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…