richie hassan Member Joined Jan 10, 2013 Posts 52 Reaction score 9 Mar 10, 2024 #1 Wakuu naomba msaada kucheua Kwa English ni nini mfano unasema "John amecheua.."
ProcrastinatorInChief JF-Expert Member Joined May 10, 2012 Posts 13,027 Reaction score 29,555 Mar 10, 2024 #2 richie hassan said: Wakuu naomba msaada kucheua Kwa English ni nini mfano unasema "John amecheua.." Click to expand... Burping au belching.. Ila wengine wanaita cheweth japo imekaa kijanja janja sana hiyo chew
richie hassan said: Wakuu naomba msaada kucheua Kwa English ni nini mfano unasema "John amecheua.." Click to expand... Burping au belching.. Ila wengine wanaita cheweth japo imekaa kijanja janja sana hiyo chew
fimboyaasali JF-Expert Member Joined Jan 14, 2011 Posts 8,606 Reaction score 8,270 Mar 18, 2024 #3 richie hassan said: Wakuu naomba msaada kucheua Kwa English ni nini mfano unasema "John amecheua.." Click to expand... bleaching
richie hassan said: Wakuu naomba msaada kucheua Kwa English ni nini mfano unasema "John amecheua.." Click to expand... bleaching
Natafuta pesa JF-Expert Member Joined Mar 29, 2022 Posts 287 Reaction score 396 Mar 28, 2024 #4 DR Mambo Jambo said: Burping au belching.. Ila wengine wanaita cheweth japo imekaa kijanja janja sana hiyo chew Click to expand... Burping- wengine humaanisha kubeua
DR Mambo Jambo said: Burping au belching.. Ila wengine wanaita cheweth japo imekaa kijanja janja sana hiyo chew Click to expand... Burping- wengine humaanisha kubeua
Technophilic Pool JF-Expert Member Joined Jan 18, 2024 Posts 3,104 Reaction score 4,574 Mar 28, 2024 #5 richie hassan said: Wakuu naomba msaada kucheua Kwa English ni nini mfano unasema "John amecheua.." Click to expand... CHEUWARING
richie hassan said: Wakuu naomba msaada kucheua Kwa English ni nini mfano unasema "John amecheua.." Click to expand... CHEUWARING