Kuchepuka

Kuchepuka

nkungwe123

JF-Expert Member
Joined
Mar 17, 2014
Posts
444
Reaction score
95
Ivi wana MMU,
mtu akichepuka anajikomesha mwenyewe au mwenza wake?
Mathalani mwanamke. Anamkomoa mumewe au ajikomoa mwenyewe? Ya nani inaenda gegedwa?
Kwangu Mimi hata achepuke Mara mia siumii nafsi ng'ooo
 
hata mabondia wakipigwa sana za uso huwa sura inakomaa hata upige na nondo haiumi.jamaa itakuwa katendwa sana ashazoea.
 
Labda kama ulimuokota kati ya wale wanaojitembeza usiku,vinginevyo utakuwa unajiliza bafuni wakati wa kuoga.
 
Sasa kama huumii, na anagegedwa yeye, kelele za nini? Sungura fanfa wewe, tupishe sie!

Hahahahaaaa..... nipishe Mimi. Maana unavamia!!!! Gegedwaa gegedwaaa..... hahahaaaa.... bado kdg muwe public servants
 
Back
Top Bottom