Kuchepuka noma

Kuchepuka noma

charles j

Member
Joined
Feb 23, 2014
Posts
21
Reaction score
4
Mimi na nikawaida kwa wanaume wengi huwa tunachepuka lakini kwanini msichana akichepuka huwa inaniuma sana. Naomba kujua kwanini wasichana wakichepuka huwa wanaume inawauma sana.

Karibuni tuchangie
 
Bora hata umelitambua hilo, inaweza kuwa mwanzo mzuri wa kubaki njia kuu.
 
charles j

Wanaume wengi yaani wewe na nani???????????? Michepuko siyo dili wenzio wamehamia huku.
 
Last edited by a moderator:
kwa sababu akili zenu fupi mnajifikiria nyie tu!!!!

Relax!!! Umepanic, kuna kitu kibaya Me alishakufanyia ndio maana una hasira hivyo! Kumbuka maisha yana vitu vingi vizuri, chukua muda wako tizama, nusa, sikiliza, onja.....enjoy
 
Mwanaume akichepuka huitwa dume la mbegu, mwanamke akichepuka malaya. Hivyo ndivyo jamii ilivyotengenezwa.

Wanaume tunaona kana tuna haki vile na ukichapiwa utaona umefedheheshwa sana.

Sisi wote ni binadamu na tuna hisia sawa za kuumia na kufurahi. Tofauti iliyopo ni uvumilivu tu kwa wanawake upo juu na wanaume ni ziro kabisa.
 
mkuu ulishawai kujiuliza ivi kwanini baadhi ya makabila wanawakeketa wanawake?
 
Kwasababu wabinafsi filimbi zao watembeze dunia nzima ila sie hapana.
 
Back
Top Bottom