mkuu habari zako ni kweli tupu,
kwani hata mimi mwenyewe nimefika nikaambiwa hivyo hivyo, na mbaya zaidi nikaambiwa kuwa D E O alikuwa mkali kama mbogo kwa waalimu walioripoti tangu j5,
pia nimeambiwa kuwa mkurugenzi ni mchakachuzi balaa,
dah walimu tunakandamizwa sana ,
mwenye uwezo kutusaidia tafadhali