Kuchelewa kupo mkuu...kwa mfano, kuna ma-agemate wako uliokuwa nao utotoni, wana familia, wanamaisha mazuri, wana amani na ndoa zao,...Lakini wewe (mfano unaendelea) huna mbele wala nyuma, huna hata geto la kupanga (unaishi kwa ndugu au kwenu), kama kuna watu ulisoma nao wao wana masters na ma-phd wewe una diploma, mdogo wako wa nne kukufata ana watoto watatu wewe hata mmoja huna na hapo we sio mgumba wala tasa..hapo utasema bado hujachelewa...ni mifano tu mkuu sipingani na hoja yako