Mkuu kwanza nikusahihishe. Kwa mtizamo wangu kuchelewa kufika kilele sio tatizo, tatizo ni kuwahi kufika (Mwanaume). Hili inawezekana linaukweli kidogo, lakini kunawazembe sana ktk mazoezi ila 6x6 usipime. swala la hili in most cases linakuwa associated na saikolojia.
Kaka ni kweli tatizo sio kuchelewa kwa mwanamume kufika kileleni tatizo ni unapowahi kabla mwenzi wako hajafika....ila isikupe shida una weza kufanya zoezi dogo ila linahitaji concentration. Chini ya kende za mwanaume upande wa kulia karibia na njia ya haja kuna mshipa unaoitwa pubococcygeus muscle ambayo inacontrol flow of urine na kipindi cha ejaculation. Jitahidi kichunguza na ukijisjia kupeez bana huo mshipa kwa muda iyo hali itapotea na utaanza kusex upya. you can get two orgasm in one. Yni bao mbili kwa moja. or read more on http://www.pcmuscle.orgOk, nashukuru kwa usahihisho wako, may be ni kiwango gani cha mazoezi ambacho ni reasonable kwa mwanaume ili kisiweze kumsababishia shida hizo za kumuacha mwenzake?
Kaka ni kweli tatizo sio kuchelewa kwa mwanamume kufika kileleni tatizo ni unapowahi kabla mwenzi wako hajafika....ila isikupe shida una weza kufanya zoezi dogo ila linahitaji concentration. Chini ya kende za mwanaume upande wa kulia karibia na njia ya haja kuna mshipa unaoitwa pubococcygeus muscle ambayo inacontrol flow of urine na kipindi cha ejaculation. Jitahidi kichunguza na ukijisjia kupeez bana huo mshipa kwa muda iyo hali itapotea na utaanza kusex upya. you can get two orgasm in one. Yni bao mbili kwa moja. or read more on http://www.pcmuscle.org

Mimi nadhani ukisikilizia utamu kwa saaana mapema ndio unamaliza mapema, hivyo mwanzoni wewe sugua sugua tu ila baadaye ukiona demu iko tayari ndipo nawe vuta hisia kunako kitu. Lakini bao la kwanza kama hujapata ile kitu muda mrefu ni ngumu kulibana, hapo itabidi demu asibubiri tu bao la pili ili nae afaidi.
Hivi kwani tatizo la kuhitimisha mapema halipo kwa girls? Mbona linalalamikiwa sana kwa boys peke yetu...