Kuchapia

siko kwenye mob (siko kwenye mood), nikauliza unasema? akajibu tena "siko kwenye mob ya kusoma".....my classmate back in days boarding school
 
Hahahaaa. Ila wakuu. Hamna kitu kibaya kama pale unapobishana na mtu seriously halafu ukachapia. Unakuwa defeated hapohapo. Yaani unafeel kama ure a looser.
 
siko kwenye mob (siko kwenye mood), nikauliza unasema? akajibu tena "siko kwenye mob ya kusoma".....my classmate back in days boarding school

we are all human beans-we are all human beings
 
We Asha, nilikwambia huyu mtoto mnunulie hotpot ili ajisaidie humo siyo hapa chini anachafua uwanja!!

We dada naomba nipe kadi moja ya conclusion niambatanishe na hii zawadi yangu kwenye graduation.

Ukifika kijijini uni_deep ili nikupigie.

John, umeshamaliza kushona kaptua ya huyu mwnafunzi?

We kijana acha salau sako, nimesasema kuwa hisi ndo kasi setu, usiwe na wasiwasi tutasifanya sote sitakwisa tu.
 
naenda kwenye chicken party (kitchen part) ya bishostito
lete hiyo faya tingisha ( fire extinguisher )
 

progodition badala ya production.
 
kipi kikutikisikako = kipi kikusikitishacho. huu msemo ulikuwa unatushinda sana enzi za primary!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…