Kuchangia CHADEMA Bonyeza hapa

Good. Kuna information nilizihitaji sana ili nichangie kirahisi na nimezipata. Nimekuwa nikipata shida kupanga mistari mirefu benki, ingawa nimekuwa nikichangia kupitia sms, lakini nitachanga kwa M-Pesa pia maana hii ni rahisi sana kupeleka kiwango kikubwa cha pesa. Nachanga.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…